Kazi ipo huko Abdjan[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Kabla ya mechi na baada ya mechi watahitaji wakalimani!
kwahiyo mgunda ana mbinu?Hatimaye mwamba Juma Mgunda amekabidhiwa timu ya taifa rasmi baada ya kocha Adel Amrouche kufungiwa na CAF. Juzi nilishauri kwamba kocha Adel Amrouche hatoshi atupishe ikibidi afukuzwe huko huko Ivory Coast kuna baadhi ya mashabiki maandazi wakataka kunitoboa macho hatimaye TFF imetangaza kumsimamisha kazi na timu amekabidhiwa mzawa Juma Mgunda na msaidizi wake Hemed Morocco.
Kocha Adel Amrouche alikuwa ameshakosa mbinu za kufundisha kuweza kuisaidia timu akahamia kwenye kichaka cha majungu na tuhuma za uongo dhidi ya Morocco jambo lililozua utata na CAF kutangaza kumfungia mechi 8 leo
Naamini Mgunda atatuvusha huyu tutarajie makubwa kwenye mechi hizi mbili zilizosalia
Iwe fundishoView attachment 2876747
Kwani TFF walimuokota wapi huyo amorouche?Hatimaye mwamba Juma Mgunda amekabidhiwa timu ya taifa rasmi baada ya kocha Adel Amrouche kufungiwa na CAF. Juzi nilishauri kwamba kocha Adel Amrouche hatoshi atupishe ikibidi afukuzwe huko huko Ivory Coast kuna baadhi ya mashabiki maandazi wakataka kunitoboa macho hatimaye TFF imetangaza kumsimamisha kazi na timu amekabidhiwa mzawa Juma Mgunda na msaidizi wake Hemed Morocco.
Kocha Adel Amrouche alikuwa ameshakosa mbinu za kufundisha kuweza kuisaidia timu akahamia kwenye kichaka cha majungu na tuhuma za uongo dhidi ya Morocco jambo lililozua utata na CAF kutangaza kumfungia mechi 8 leo
Naamini Mgunda atatuvusha huyu tutarajie makubwa kwenye mechi hizi mbili zilizosalia
Iwe fundishoView attachment 2876747
Ndio,Kwani Kuna shida gani...kutojua Kiingereza au Kifaransa !😀😀😀
Kabla ya mechi na baada ya mechi watahitaji wakalimani!
ajielewi huyo,hata kocha Morinyo kuna wakati anatema lugha yake ya kireno ingawa anajua kingereza.Ndio,Kwani Kuna shida gani...kutojua Kiingereza au Kifaransa !
Hana unazo wewe
Ni kocha msaidizi wa Ndumbaro starsHivi mgunda hana timu?!!!;
.
.
Simba princessHivi mgunda hana timu?!!!;
.
.
Ni ngumu kupata mganga kule, angalau mgunda atatusaidia
Mgunda ni msomi sana mkuu halafu ana exposure matata sio mtu poa anyway nimependa maamuzi ya caf angalau wametusaidia maana tukiwa tunaongea Ndumbaro na genge lake walikuwa wanafoka kweli NAO WAFUNGIWE[emoji3][emoji3][emoji3]
Kabla ya mechi na baada ya mechi watahitaji wakalimani!
Kwa timu tuliyonayo na level ya ushindani kama tutapata point Moja katika mashindano haya kwangu litakua ni jambo kubwa Sana.Mgunda ni msomi sana mkuu halafu ana exposure matata sio mtu poa anyway nimependa maamuzi ya caf angalau wametusaidia maana tukiwa tunaongea Ndumbaro na genge lake walikuwa wanafoka kweli NAO WAFUNGIWE