kwani umemuoa? hiyo inaitwa haki ya ndoa siyo haki ya wazinzi.
ukimuoa akakunyima una haki ya kumshitak ata kwa wazaz wake lakin kwa sasa hiv labda ukamshtaki kwa SHETANI.
mim siwez kukushauri uzinzi tena aendelee hivo hivo kukunyima adi utakapooa.
UNAITAJI MAOMBI.