Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,171
- 4,398
Salaam waungwana
Jamani mwenzenu nasumbuliwa na maumivu makali mwilini
Jana nilienda hospital kupima Malaria na Typhod lakini vyote hivyo sikuwa nasumbuliwa navyo lakini bado mwili waniuma vibaya mno.
Mimi huwa na kawaida ya kuchangia damu kila baada ya miezi mitatu, lakini kwa mara ya mwisho nilichangia siku ya juma tano ya tarehe 5 mwezi wa 4 mwaka huu baada ya kupita miezi mitano mara baada ya kutoa damu kabla ya hiyo siku ya j4.
Sasa tatizo lipo hapa nilifika Temeke hospital kwa ajili ya zoezi hilo, bahati mbaya au nzuri mimi ndio nilikuwa mtu wa mwisho kuhudumiwa hapo lakini haikuwa kama kawaida ya nilivyozoea kuwa baada ya kuhojiwa kuhusu historia ya uchangiaji wangu na kama nina tatizo lolote la kiafya.
Baada ya hapo nilizoea kupata vipimo vya wingi wa damu na uzito wangu lakini hayo yote hayakufanyika, yaani baada ya kuhojiwa tu niliambiwa nilale kwenye kile kiti kwa ajili ya kutolewa damu.
Nilitolewa damu na nikaambiwa nirejee baada ya mwezi mmoja nikiwa na kikadi changu ili kupata taarifa zaidi.
Lakini baada ya kumaliza zoezi lile siku ya pili yake mwili umeanza kuniuma sana, joto jingi na viungo vya mwili havina nguvu na pia baadhi ya wakati huwa najihisi kizunguzungu.
JE TATIZO LA UGONJWA WANGU LINATOKANA NA UTOAJI WA DAMU?
NINI NIFANYE KUWEZA KUEPUKANA NA MAUMIVU HAYA?
NA KAMA NIMETOA DAMU WAKATI NILIYOKUWA NAYO HAITOSHELEZI NINI NIFANYE?
NINI MADHARA YAKE KWA HAYA NILIYOYAFANYA
NI SAHIHI KWA MADOCTOR WALIONAMBIA NITOE DAMU BILA KUPIMA KIASI CHA DAMU YANGU IKIWA MWENYEWE NILIGHAFIRIKA?
NAOMBENI MSAADA WENU NAUMWA SANA HAPA NILIPO.