Hakuna kuogapa, wamizidi kuidharau hii fani mwaka huu hadi kieleweke!Hiv watatuchezea mpaka lini,yan sikuhiz ukienda kuoa ukijitambulisha wewe mwalimu wakwe wanatema mate,hadi inaonekana sisi ndo tulio feli,wakat kada nyingine wanaenda hadi kwa divishen 4 ya thelathini,
kama hamjui cwt viongozi wake ni wakala wa serikali wote mnazani watafanya nini wanajibalaguza nao waonekane wanafanyakazi kama chama cha wafanyakazi madaktari hamuna chama hapo waondoeni hao kwanza.
Wewe ndio taahira kichaa,mwenye akili ya darasani,lakini zuzu wa maarifawalimu sio waoga,wana busara na akili,kila kada waliofeli na waliofaulu! Kwa mfano mm ni mwl
f4- div -i 16,
f6- div -ii 12 pcm,
university, gpa 3.4,
angalau,sijafaulu sana!
Tatizo tumekosa viongozi shupavu kama dr. Uli
Wewe ndio taahira kichaa,mwenye akili ya darasani,lakini zuzu wa maarifa
Vinara wa migomo sasa wanaogopa kulimbokwa!!sasa unapotezwa...ndo picha linalokuja!!utaokotwa maiti...ukiwa beach tutaambiwa marehemu inasemekana alipandwa na maralia!!!
Wewe ndio taahira kichaa,mwenye akili ya darasani,lakini zuzu wa maarifa