Mgomo wa wafanyabiashara kesho


Tuna miaka mingine 100 ya kuendelea kubaki hapa tulipo kwa hiyo tatizo ni Minja na uchaga wake sio fact anazotetea kuhusu huu mfumo wa kodi, mkuu piga kazi ofisini hapo subiria mwisho wa mwezi mshahara wakate PAYE nyingine wakupelekee NSSF utaichukua ukistaafu au kama utaacha au kufukuzwa, this business thing tuachie sisi
 

Huna biashara yoyote we ni mamluki tu na ajenda zenu zilizojificha. Kwa nini wafanyabiashara wanakuwa blackmailed kushiriki mgomo? Waanzishe tu jumuia nyingine isiyotumika kisiasa
 
Issue hapa si namna kodi inavyotumika issue ni mgomo wa wafanyabiashara. Ondoa pumba hapa, anzisha thread yenye issue ya kodi inavyotumika.
 
Acha kudanganya wewe. Wafanyabiashara ndio chanzo cha hayo yote unayosema wala wewe si mfanyabiashara kwa namna ulivyocomment,wala hujui mfumo wa kodi hapo bandarini na jinsi gani deal zinavyopigwa kukwepa kodi.

kwa kukusaidia mimi bandari naitumia huu ni mwaka wa 15. naifaham in an out. ndio chimbuko la pili kwa wizi kuitoa wizara ya nishati na madini. bora hata hao wanaolipia kidogo kuna wanaoiba container nzima haijalipiwa hata Mia ndio maana nikasema inawezekana wewe ni mmoja wapo wa wanufaika wa huu wizi. muulize mtu yeyote container ya nguo bei gani halafu mwambie akuonyeshe malipo yake ndio utajua
 
Kuna kundi ambalo hatujagoma.Sisi wenye nyumba mlikopanga kuweka fremu za kuuza bidhaa zenu.Kodi zetu ziko pale pale muuze msiuze mtajijua kodi zetu za pango tunazitaka hatutaki mtu acheleweshe.Hayo ya kugoma au kutogoma mnayajua nyie na hawara zenu.
 

Usiwe na jazba nimetembelea nchi za ulaya zinazotusaidia bajeti yetu kila mwaka na siku moja nikanunua zabibu mbivu nikiwa Italia nikapewa risiti ya efd yenye kodi ya serikali. Ni kweli serikali imekithiri kwa rushwa na Tra ndiyo wabaya kabisa lkn dawa kuiondoa madarakani kwa kura na kuweka nyingine. Siyo kufunga maduka. Tuungane kubadilisha serikali na sisi tufuate sheria ndivyo wanavyofanya wenzetu walioendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…