nyie mgome? Itakuwa ni ajabu la 9 la dunia.malezenu migomo yenu nasi mapolisi tuanze wa kwetu, sio kila siku watutume kunanii tu.
malezenu migomo yenu nasi mapolisi tuanze wa kwetu, sio kila siku watutume kunanii tu.
nyie mgome? Itakuwa ni ajabu la 9 la dunia.
Duh, sasa wewe umeanza kuwataja, mimi kwenye post yangu sikuanika hiviKatibu wa TANA taifa ni mmojawapo wa mamluki wanaotumiwa na serikali kuwagombanisha manesi na madaktari.
Ni mfanyakazi wa wizara ya afya (watuhumiwa) halafu hapo hapo analazimisha kuwa muwakilishi wa wauguzi kwenye vikao vya kudai maslahi zaidi.
Kipindi chote alichokuwepo hapo wizarani amefanya nini kuwatetea manesi?
Mtetezi wa kweli ni lazima ateuliwe kwenye mkutano wenye ajenda ya kudai maslahi yenu la sivyo mtawekewa mamluki.
Hiyo jumatano lazima mkutane ili mjipange.
duh, sasa wewe umeanza kuwataja, mimi kwenye post yangu sikuanika hivi
good one... na wanatumiwa kweli!!
polisi wa tz wenye akili akili za kushikiwa kamwe hawawezi hata kujaribumalezenu migomo yenu nasi mapolisi tuanze wa kwetu, sio kila siku watutume kunanii tu.
...naunga mkono hoja,tutangaze tenda ya nafasi ya uraisi,tuseme hii "nafasi ya urais tz iko wazi",tunataka mtu mwenye sifa ya uraisi,atakaye-shikilia nafasi ya urais wa tz kuanzia tarehe1/07/2012 hadi -/10/2015 tutakapo fanya uchaguzi...ili wazo mbona ni zuri tu,kuna viongozi wastahafu wenye CV nzuri sana wanaweza kuomba hii nafasi tukawapatia hii kazi...niwataje kwa uchache ambao naamini wakituma maombi ya kazi hatuwezi kunyima...Tutafute raisi wa kukodi labda nchi itapata maendeleo
Wakati ndio huu,jumatano hakuna kutoa huduma,hakuna sababu tena ya kuwategemea madaktari watetee maslahi yenu.
Mbona matatizo yenu ni makubwa mno? Nyie ndio kada pekee katika sekta ya afya ambao mnakaa karibu na mgojwa zaidi ya saa 8 kwa siku, nyie ndio mnaongoza kwa wingi katika watumishi wa afya, watumishi wanaoambukizwa kwa wingi magonjwa kama TB, ukimwi nk ni wauguzi kwasababu ya ukosefu wa vifaa vya kujikinga, lishe duni itokanayo na mishahara duni.
Kwanini ni nyie tu mnaolipia leseni ya kutoa huduma elfu hamsini, kisa eti ni sheria iliyopitishwa na bunge, sheria kandamizi na ya kinyonyaji?
Nesi wa Tanzani ana kipato gani cha kulipia leseni?
Manesi kuwa na sauti moja, hivyo vyama vyenu vya TANA, PRINMAT, nk ni wezi tu, malengo yao na perdm za vikao vinavyofanyika kwenye mahoteli makubwa, mtetezi wa muuguzi ni muuguzi mwenyewe na sio TANA.
WAKATI WA KUONYESHA MSHIKAMANO NI HUU!