You are very wrong, unajua analysis zinazotolewa na wanaharakati kipindi cha budget?
Ever heard of Budget analysis? Umeshawahi kumsikia Irenei Kiria akuwa na team yake wakiongelea swala la allocation ya budget ya Afya? how small it is, and what are the key i=areas ambazo haziguswi kila siku?
Mkuu, wakati hawa wanaharakati wakiwa wanapambana na serikali katika level hiyo, wewe na wengine wetu huwa hatuoni kazi yao.
sasa hapa unakuja kutuambia eti vi-NGO vyao?
Wakati Wanaharakati wa haki za binadamu wakitoa taarifa za mauaji ya raia ambayo serikali haijachukua hatua yoyote, wakati wakisema this government should act firmly on the issues surrounding deaths of citizens in the gold mines, the right to live as a fundamental human right is to be protected by the regime........wewe hukuona kwamba wanafanya kazi?
You are very wrong too.
Let's be fair to ourselves as individuals and let's be fair to the public as a Nation, the issue here is ... Cost benefit analysis.
1 . What criteria do the use to defend Drs instead of Patients ?
2 . Who are in the loosing end?
3 . In terms of the scale if we weigh the benefit and effects which side will be affected mostly , obvious the patients.
4 . Kwa lugha nyepesi Kama unatetea haki lazima kuwe na Mizania au Mizani ya kupima ni upande gani unazidi mwingine ndio haki Inavyotaka sasa watu wanaumwa wako Taabani wewe unasema madokta walipwe hizi ni Kebehi kwa Wagonjwa kwakua sisi ni Wazima.
Hatukatai ni haki ya madokta kupata stahili zao lakini Mizani inamfavour Zaidi mgonjwa Kama kungekua na Balance katika kudai haki then busara ingetumika kusupport Drs.
Sasa tunashindwa kuwa realistic just because We want it done based our political ethnicity...that's ****
Let's be fair jamani sisi tumekua watumwa wa Siasa na kudhani kila kitu tukiendeshe kisiasa tu...
Kwahiyo wanaharakati wamechemsha sana sana na ni fedheha kubwa wanapotaka kusupport kitu kuwe na MIZANI sio kukurupuka na kupinga kila kitu Kama watu wa sokoni na Sheria wanazijua...
On the other hand that's purely legal issue .
Shame of them... DESPERATE WIVES
Paulss, jipange tena, apa umechemka mbaya!