Serikali isikubali kuburuzwa na hawa mabepari itafute plan B sasa
naweza kusema umefika muda wa serikali kununua mabasi yao ya kusafirisha abiri hili kuondoa hii kadhia kwa wasafiri, kupitia hivi vyombo vya usafiri vya serikali itawekwa nauli maalum,pia itatoa changamoto ya kibiashara kwa mabasi ya watu binafsi hii pia itasaidia kupunguza migomo kabisa,kwani ukigoma na basi lako bado abiria watasafiri kwa mabasi ya serikali, hivi mnajua kwamba haya mabasi yanagoma siku kwa sababu hawapati changamoto. huu ndio mwarobaini wa hii migomo
hao wafanyabiashara, kwenye kampeni za urais ndio mnawafuata kuchangia chama, kwanini nao wasilipwe fadhira?? na ndio hao hao wanaohakikisha fulani amekuwa rais, badaye unategemea nini?! Wapumbavu ni wananchi, na hali itaweza kuwa mbaya zaidi endapo yule jamaa atakuwa raisi kwani wapambe wake ni ma MAFIA TUPU, na ndio wengi wanasumbua nchi hii, sasa wanataka kaa jikoni kabisa, wale mavidali na maini tupu.Serikali iimarirshe treni zote Tazara,Reli ya kati na ya Kaskazini na ifufue mashirika Kama KAMATA na Mabasi ya Railway ndio dawa. kwa sasa ombeni mabasi jeshi na ya mashirika.Halafu fungia leseni za hao wababaishaji.
Inaelekea Hii serikali ya JK ianaendeshwa na wafanyabiashara kama vile nchi haina sheria na masharti ya kuendesha biashara.
Hii ndio madhara ya kuwachagua watunga sera ambao ni wafanyabiashara chagueni walalahoi wenzenu 2015
Kigogo watu wanawaza habari za uchumi kudhorota siku za migomowe unawaza kupiga wadudu. Haahahaaaaah heshima kwako mkuuNafurahi sanaaaaa kunapokuwa na migomo hii maana hatuendi kazini tunajipigia midudu tu hapa kona bar kama hatuna akili nzuri
kwani nauli mpya zipoje