Mgomo wa Daladala Mbeya wawanufaisha Bajaji

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,164
Reaction score
51,357
Toka asubuhi ya Leo Jiji la Mbeya limekumbwa na mgomo wa usafiri wa uma yaani dala dala.

Baadhi ya wakazi wa mji wameonekana wakitembea maeneo mbali mbali ya mji ama kutumia usafiri maarufu wa Bajaji. .

Vyanzo mbali mbali vinatanabaisha kuwa kiini cha mgomo ni mgogoro baina ya daladala na wamiliki wa Bajaji kwamba, wenye dala dala wakidai wenye bajaji kutoingia bara bara kuu
 


Ubaguzi ...nini maana ya biashara huria!?
 
ajabu sana mkuu hawataki ziingie barabara kuu kupakia abiria, naona jamaa wa bajaji wanatamba tu leo.
Bado biashara ya daladala Mbeya mjini ni ngumu, maana unaweza toka Uyole hadi Stand kuu gari ipo level siti.....na abiria wanaotoka asubuhi ndiyo haohao wa jioni ndiyo maana hadi wanafahamiana vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…