Mgomo shule ya sekondari Namabengo mkoani Ruvuma

aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,577
2,221
Wakuu,

Nimesikia na kuona kero za wanafunzi wa kidato cha sita mkoani Ruvuma.Kwakweli,hali hii inasikitisha sana jinsi waalimu wanavyowatesa watoto wa watu namna hiyo.

Kwa wenzentu,kusoma starehe kwetu maauaji.Naomba sana serikali iangalie hili suala na kuwaajibisha wahusika wote kwa adhabu.

Kwa mwenendo huu,hatuwezi kuwa na watu wenye ari na nguvu ya kusoma na baadaye kuja kuwa watu muhimu katika ujenzi wa nchi yetu.

Huyu mwalimu ana bahati sana,hawezi kumfanya mtoto wangu namna hio.

Hii hapa chini ni clip ya mambo yaliyotokea.



In between hawa watoto wamenikumbusha wimbo wa nature,kigetogeto..
 
Back
Top Bottom