bahati mbaya wanafungwa hata kama kosa ni la miundombinu,Mimi ninashauri wakuu wa traffic mahali ambapo ajali inatokea nao wawajibishwe ili kupunguza rushwa
Itafuata zamu yetu wakulima.Tutagoma kupeleka chakula sokoni ili nyie mafisadi wa mjini msipate chakula chetu.
Hivyo vyuo na mashule ya bweni mvitafutie chakula cha kichinachina
Chonde chonde msifanye hivyo manake watakao pata ni wale wenye nacho wanaoweza kuweka akiba ya chakula hata mwezi mzima sie makabwela wa unga robo, nyanya fungu jero tutarajie maumivu:what: