Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,393 Mar 9, 2011 #1 habari za kuaminika toka Dodoma zasema kuwa mgomo wa wananchuo wa CBE dodoma umeingian siku ya tatu hii leo. wanachuo hao wamegoma kushinikiza mitihani iwe inatungiwa CBE dodoma na sio CBE dar kama ilivyo sasa. hao ndio wanazuoni wetu
habari za kuaminika toka Dodoma zasema kuwa mgomo wa wananchuo wa CBE dodoma umeingian siku ya tatu hii leo. wanachuo hao wamegoma kushinikiza mitihani iwe inatungiwa CBE dodoma na sio CBE dar kama ilivyo sasa. hao ndio wanazuoni wetu