Mgombea wa Udiwani CDM Avamiwa

LENGISHO

Senior Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
169
Reaction score
265
Ndugu zangu huyu mnaemuona ni mgombea wa Diwani Tonni Ndewawio wa Kata ya Mfumuni Amevamiwa na Mgombea Wa CCM Kata ya Bomambuzi Juma Rahibu akiwa na vijana zaidi ya Ishirini Wamemnyanganya Simu,Wallet,Laptop na Documents Muda huu ndio natoka KCMC kweli tamaa ya Madaraka mpaka tuumizane kiasi hichi tunaelekea Wapi naumia sana.


Hawa Ali Anareport kupitia Ukurasa wake wa facebook
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
duuu alafu kuna Mtu atasimama na Kusema kwa sauti Kubwa" Hii Nchi ni nchi yenye demokrasia na amani" Let pray for our nation ,
 
duuu alafu kuna Mtu atasimama na Kusema kwa sauti Kubwa" Hii Nchi ni nchi yenye demokrasia na amani" Let pray for our nation ,
JF watoe hiyo picha ya ACP hapo juu hatakama.....
 
hili litaishia hivi hivi na police hutawasikia wakihangaika
kisa ni wa chadema
 
Pumbv zenu CHADEMA hivi hamjui kulipiza kisasi, Kamanda mawazo aliuliwa hivi hivi. Yaani mnakera kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…