Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,645 Reaction score 5,530 Aug 30, 2014 #21 ni member wa namupa seminary,.....mh B.k.membe
Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,768 Reaction score 49,934 Aug 30, 2014 #22 Tutamchagua mtu kwa sifa zake na wala siyo kwa imani yake au kama anaungwa mkono na kanisa, msikiti au mbuyu.
Tutamchagua mtu kwa sifa zake na wala siyo kwa imani yake au kama anaungwa mkono na kanisa, msikiti au mbuyu.
Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,768 Reaction score 49,934 Aug 30, 2014 #23 Yaani atoke Kikwete aingie Kikwete? Huyu si mdogo wake Kikwete? Baba mmoja Mama tofauti! IKWETE said: Alhaj Hamis Membe Click to expand...
Yaani atoke Kikwete aingie Kikwete? Huyu si mdogo wake Kikwete? Baba mmoja Mama tofauti! IKWETE said: Alhaj Hamis Membe Click to expand...
M mshunami JF-Expert Member Joined Feb 27, 2013 Posts 4,253 Reaction score 1,945 Aug 30, 2014 #24 amkawewe said: VX 24 ?!! atalipaje baadaye? kama msaada kwa nini Click to expand... Je kama alilipa Cash? Ufisadi mkuu namna hii si ajabu!
amkawewe said: VX 24 ?!! atalipaje baadaye? kama msaada kwa nini Click to expand... Je kama alilipa Cash? Ufisadi mkuu namna hii si ajabu!
Mkya JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 667 Reaction score 94 Aug 30, 2014 #25 Membe hafai kabisa raisi hapa ni pinda tuu wengine wasindikize tuu
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Aug 30, 2014 #26 Habari ya udaku udaku tu
M Mkekuu JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 1,237 Reaction score 176 Aug 30, 2014 #27 Mkya said: Membe hafai kabisa raisi hapa ni pinda tuu wengine wasindikize tuu Click to expand... kwenye familia yenu anafaa sana huyo kilizi?
Mkya said: Membe hafai kabisa raisi hapa ni pinda tuu wengine wasindikize tuu Click to expand... kwenye familia yenu anafaa sana huyo kilizi?
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,394 Aug 30, 2014 #28 Bams said: Yaani atoke Kikwete aingie Kikwete? Huyu si mdogo wake Kikwete? Baba mmoja Mama tofauti! Click to expand... Mkuu umeniacha hoi hao wamoja?
Bams said: Yaani atoke Kikwete aingie Kikwete? Huyu si mdogo wake Kikwete? Baba mmoja Mama tofauti! Click to expand... Mkuu umeniacha hoi hao wamoja?
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Aug 30, 2014 #29 Senema inaendelea....
C chipa GM JF-Expert Member Joined Jan 21, 2012 Posts 1,817 Reaction score 2,976 Aug 30, 2014 #30 Sinema za mafisadi zinaendelea..!that's b.membe
J jorojo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 1,642 Reaction score 12 Aug 30, 2014 #31 Tusijadili watu tujadili tujadili utendaji wao
M Mkekuu JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 1,237 Reaction score 176 Aug 30, 2014 #32 Bams said: Tutamchagua mtu kwa sifa zake na wala siyo kwa imani yake au kama anaungwa mkono na kanisa, msikiti au mbuyu. Click to expand... waeja sana.
Bams said: Tutamchagua mtu kwa sifa zake na wala siyo kwa imani yake au kama anaungwa mkono na kanisa, msikiti au mbuyu. Click to expand... waeja sana.
Foundation JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 1,420 Reaction score 611 Aug 30, 2014 #33 Nilijua tu source ya habari kabla hata kabla sijamaliza kuisoma habari husika. Pro Nywele nyeupe
Mizizi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,275 Reaction score 391 Aug 30, 2014 #34 Vatican ndio wanapiga kura?? Akili, uweredi na sifa za mtu ndizo zitampa mtu nafasi ya kuwa bosi wa nchi hii
Vatican ndio wanapiga kura?? Akili, uweredi na sifa za mtu ndizo zitampa mtu nafasi ya kuwa bosi wa nchi hii
Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,768 Reaction score 49,934 Aug 30, 2014 #35 Kama unaamini kuwa mtoto ni mtoto hata kama amezaliwa nje ya ndoa, hata kama hakurasimishwa, Kikwete na Membe ni ndugu wa damu. MANI said: Mkuu umeniacha hoi hao wamoja? Click to expand...
Kama unaamini kuwa mtoto ni mtoto hata kama amezaliwa nje ya ndoa, hata kama hakurasimishwa, Kikwete na Membe ni ndugu wa damu. MANI said: Mkuu umeniacha hoi hao wamoja? Click to expand...
amkawewe JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 2,021 Reaction score 528 Aug 30, 2014 #36 mshunami said: Je kama alilipa Cash? Ufisadi mkuu namna hii si ajabu! Click to expand... Cash, ametoa wapi hizi? kwa biashara gani Ikulu?
mshunami said: Je kama alilipa Cash? Ufisadi mkuu namna hii si ajabu! Click to expand... Cash, ametoa wapi hizi? kwa biashara gani Ikulu?
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Aug 30, 2014 #37 Membe bwana, hivi kuna nini Ikulu linalowafanya watu wapigane vikumbo kuingia?
Nicholas JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 25,260 Reaction score 7,217 Aug 31, 2014 #38 Hivi CCM wamesha repair Diplomatic Relation kwa waliyofanya OLASIT?
N ndembi Member Joined Aug 28, 2014 Posts 11 Reaction score 0 Aug 31, 2014 #39 napita tu jamani. sijaiona post hii.
N nazaret Member Joined Aug 25, 2014 Posts 51 Reaction score 3 Aug 31, 2014 #40 TEKNOLOJIA said: Mimi ni Mkatoliki lakini kama CCM wakimsimamisha Membe na Upinzani wakimsimamisha Muislamu,Nipo radhi nimchague Muislamu kuliko huyu mtu! Click to expand... Unamatatizo makubwa katika ubongo hatuchagui kiongozi kwa kuangalia mambo hayo
TEKNOLOJIA said: Mimi ni Mkatoliki lakini kama CCM wakimsimamisha Membe na Upinzani wakimsimamisha Muislamu,Nipo radhi nimchague Muislamu kuliko huyu mtu! Click to expand... Unamatatizo makubwa katika ubongo hatuchagui kiongozi kwa kuangalia mambo hayo