Mkuu, usiunge mkono kila hoja. Nyingine zimekaa kitaahira tuImekaaa vizuri sana hiyo...
stori za kwenye mihogo hiziIkiwa imebaki siku moja kuhitimisha kampeni za uchaguzi mkuu mgombea udiwani kwa tiketi ya chama cha mapinduzi ccm,amewaambia wananchi wa kata ya ukonga kumchagua Lowasa kuwa rais,ubunge ni Waitara na Udiwani apewe yeye.Huku baadhi ya makada wa ccm wakijipachika uccm b wakiwa na maana wanaweza badilika wakati wowote na kumpigia kura Lowasa.Mungu ibariki Tanzania.
Mkuu, usiunge mkono kila hoja. Nyingine zimekaa kitaahira tu
Endeleeni kupotoshana lakini moto wake mtauoni magufuli siyo mwepesi kama mnavyodhani.Mkuchika kaweka wazi... Urais wampe Lowassa, watu wa Lindi.. ila Ubunge anaomba yeye... anasema JK kaanzisha fujo na Lowassa ili CCM ife... wakati JK hana shida... watakao teseka ni wao.. sasa kasema Magufuli atajua mwenyewe...!! Anasema JK kalikoroga, na alimchokoza Lowassa, sasa atajua huko...!!!