Mkuu hapa kuana tatizo,na tatizo hili lazima MACCM yanahusika kwa namna moja au nyingine!Sasa wewe, ushaanza uhuni wa sisemu, sidiemu yenyewe imeonyeshana uhuni hadharani kabisa. Je kama kambi pinzani za ndani zinanyukana?
Mgombea udiwani wa chadema kata y mtae jimbo la mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani hayupo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa chadema wanamsaka. Uhuni wa ccm. Vijana wameapa watakesha nyumbani kwake na ikibidi wanatoka na mtu.

Sasa wewe, ushaanza uhuni wa sisemu, sidiemu yenyewe imeonyeshana uhuni hadharani kabisa. Je kama kambi pinzani za ndani zinanyukana?