Pata picha ingekua mwana CCM amekwenda kwenye mkutano wa ukawa na jezi yake ya CCM ingekuaje!?
uvumilivu wa kisiasa pamoja na kuheshimu mawazo ya wengine ni muhimu sana hasa katika kipindi hiki.
Samia na ukomavu wa kisiasa!
amekomaa yeye embe??!
Pata picha ingekua mwana CCM amekwenda kwenye mkutano wa ukawa na jezi yake ya CCM ingekuaje!?
uvumilivu wa kisiasa pamoja na kuheshimu mawazo ya wengine ni muhimu sana hasa katika kipindi hiki.
Hapo kakutana na mgombea udiwani, je ubunge itakuwaje, maana inaonyesha kapanic.
Huyu mama ni mtulivu na anatumia Kichwa kufikiri sio hao wengine kufugia nywele ma kunyolea mapanki