Mgogoro wafukuta NCCR - Mageuzi

KWA NINI ZANZIBAR LEO SI JANA:Tangu kuanza siasa za vyama vingi nchini miaka ya tisini upinzani kwa upande wa ZNZ umekuwa mkubwa kati ya Ccm na Cuf. Na Hilo limepelekea migogoro mikubwa iliyopelekea usuluhishi wa kimataifa kuwepo ZNZ na hata kupelekea kuwepo wakimbizi waliokimbilia Shimoni-Kenya na Tume kadhaa kuundwa ili kutanzua mgogoro .Yote hayo yalitokana na matokeo ya Uchaguzi kupingwa kutokana na kasoro za wazi ambazo wasuluhishi walizikiri.KWA WAKATI HUO HEKIMA YA KUFUTA MATOKEO KULINDA HAKI ZA WALIO WENGI NA TAIFA kama ilivyo leo haikuonekana,Nalazimika kutafakari kwa faida Tanzania niipendayo Je Ufutaji huu una manufaa kwa ustawi wa nchi au ni virusi vya uonevyo vilivyo izidi HAKI ya Tanzania niipendayo?
 
Vingi vingapi? Walikuwa na viti vinne wamepoteza vitatu na cha Manchali huwezi sema wanepoteza maana Manchali alijitoa

Kama sio undezi huu sijui tuuitaje,hivi kutoka wabunge watatu na sasa mmoja stil unajenga hoja dhaifu kiasi hicho?
 
Mbatia ni mbinafsi mno,alikua tayari NCCR ife lakini yeye apate ubunge.mwenyekiti badala ya kunadi wagombea ubunge wa chama chake alikua busy kumnadi mgombea wa ccm lowasa
 
Yeye kama mwenyekiti hajawai kukanyaga jimboni kwa kafulila kumpigia kampeni? Mkuu, unaelewa implication yake?

Kafulila hata bila Mbatia ameshinda ni zengwe kachewzewa kafanya meng jimbon mwake m/kit awepo asiwpo his pipo love him!!!!plus hvi mwenyekti na yy c alikua anagombea na azunguke mara ngap?? JK na Zitto ni wenyevti pia walizunguka nchi nzima??? Heri baba riz alikua rais ila zitto hata mama Anna alikua anamsupport????? Chama ni kipya vip ubunge na madiwan zitto aliwaombea kura!!!! Don't blame Mbatia mambo ni mengi huwez please kila mtu plus ni hyuhyu Kafulila rumour had t alikua anataka mpindua mwenzie so may be walikua na tofauti zao
 
katika watu nsio wakubali katika bunge LA 11 huyo mnafiki ndo namba moja
 
Hicho CHAMA ni kawaida yao kugombana hali hiyo sio mpya kumbuka ule mgogoro alipokuwa Mrema mwanachama wao
 
Mama tanzania mtepesha mdomo ndoma sauti ya zege halima mdee aliwahi kusema neno kuwa ni.....
Funguka tu unasema mdee alisema anatabia za yule sir wa uingereza teh teh teheeeeee
 

Nakuona kama mwendawazimu vile. Niliachiwa jimbo na cuf na cdm hawakusimamisha mgombea. Joka la kijani likatumia hila zake wakanichakachua jimbo..mpaka leo nina evidence mkononi.
Mafisadi ndo waliwekeza kuniangamiza mimi kama Kafulila sijapoteza kitu na waliodhulumiwa ni wapiga kura.
Leo hii unataka kuniaminisha kuwa ni ukawa ndo walionidhulumu jimbo? Shame on you fisadi....
 

Wabunge wengi???....wangapi??
 
haya nakuona kafulila wa kujipachika,, hongera
 
NCCR sawa kabisa na ACT!

At first glance yes mkuu kwani wana mbunge mmoja. Lakini kiumri ni aibu kwa oldest opposition party iwe na mbunge mmoja kama youngest political party!
 
jamani, hivi NCCR bado ipo? chama hakina hata viongozi zaidi ya Mbatia na sijui anamuongoza nani! hakuna cha halmashauri kuu wala wajumbe wala katibu wala nini ni one man show ya Mbatia tu! teh teh teh!
Hiki ni Chama kongwe tokea enzi za Lyatonga Mrema, cha zamani sana na mpaka hivi sasa bado kinapumua
 
Nccr inauwawa na mbunge wao wa Vunjo, yeye anajua kwenye memorandum ya ukawa atapata nini, ndio maana hakimsumbui kuiba Nccr haijapata wabunge, wala kuiba viongizi wake wanajiudhuru, yeye ameangalia na kile atakachokipata. Poor them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…