Martine Waziri
Member
- Aug 5, 2013
- 83
- 17
Mbunge wa jimbo la Isimani (W.Lukuvi), ameshindwa kuwatetea wananchi wa jimbo la Isimani hususani tarafa ya Idodi na Pawaga ambao wanatatizo kubwa kuhusu kulipa pesa nyingi za ushuru wanaolipa kwa zao la mpunga kwa madai suala hilo kuwa nje ya uwezo wake! Sasa yeye kama Mbunge msaada wake kwa wapiga kura wake ni upi?