Mgogoro wa Kuchinja Wanyama Wachungaji Wameanza kukusanya Kati Za CCM Madhabahuni!!!!

Ni aibu kama Watanzania wanadai haki zao za kidini kwa kuchinja,miaka yote hiyo iliyopita mlikuwa hamjaona tu hizo aya zinazoharamisha kula nyama iliyochinjwa na wasiokuwa dini zenu? Vyama vinaingiaje hapa ktk suala la dini? Au mnataka kutuaminisha kuwa siasa za nchi hii zinataka kuendeshwa kwa matabaka ya kidini kama wenzetu Kenya walivyoamua kujikita na ukabila? SIASA ZETU ZINATIA KICHEFUCHEFU.Basi tuamini kumbe suala hili limepangwa nyuma ya pazia kuna zimwi la siasa limejificha.
 

Una undugu na mkuu-ndugai, manake alipozidiwa hoja na Lissu akaanza kutoa comparison za kujitumbukiza kwenye upotofu eti "mbona mnyika amedesa kwenye ......" eti ili iwe halali kwa mwigulu nchemba kunyofoa riport nzima ya kamati na kuifanya eti hoja binafsi, shame!!!! (msomaji aelewe maana ya "mbona")
 

Nani kakudanganya ?you are just 35 percent ua unamsikiliza kichaa shehe ponda
 

Hii nimeipenda sana mkuu,tena kama uhuru huo utatolewa utajikuta tumerudi mle kwa kuwa mkristo hataweza kuchinja nyama ya biashara mwenyewe,kinacholeta shida ni kauli ya serikali kuwa waislam ndo wenye haki kwani kwao ni sehemu ya ibada,kama ni sehemu ya ibada wakristo hawako tayari kushiriki ibada ya kiislamu hii ndo source ya mgogoro.Njia pekee ya kutatua ni kutoa ruksa.
 

Sasa hapo una nchi?national intigrity haiwezi kujengwa kwa kuwagawa watu kwa misingi mbalimbali.NI JUKUMU LA SERIKALI KUJENGA UMOJA NA MSHIKAMANO WA KITAIFA,nje na hapo wawapishe watu wenye uwezo wa kujenga intigrity ya taifa.
 
Dini na maisha ya binadamu vinawiana..kwa muislam kila kitu akifanyacho kwq mujibu wq Qur'an ni ibada na akifuata mafundisho ya mtume Muhammad basi hata kuongea.kutembea.kula.kulala na kila kitendo ni ibada na wakristo wafuatao yes(issa bin mariam) naye kila tendo lake lilikuwa ni fundisho la ibada. Kufa na kuzika vyote ni ibada.sasa jamani tukianza kuchimbana sijui itakuwaje manake tutafikia mpk kugawana njia za kupita ..hii ya waislam..na ile ya wakristo. .mtaa wa kina dini flani..usipande daladala ya wakristoo..usiingie soko la waislam.
TUTAJIMALIZA NA UTAIFA UTAISHA..TUTAWEKA MIPAKA MPK KWENYE TIBA MAHOSPITALINI.
 

kama shetani ni bora kwako, basi ndiye allah wako!!!
 
huu ni uchochezi wa kipuuzi...

Mbona kanisani kwetu hatujaambiwa tupeleke kadi za sisiemu?


Acheni uongo uongo wa kuchochea watu vitu visivyo.uwepo...


Usengery wa kuchinja umetuchosha.....wabongo waache upuuzi kila mtu na achinje kwa imani yake kama vipi muache kununua nyama mabuchani wala kula nyama mahotelini kwa miezi mitatu muone
 

na wewe hapa unaleta usengery wa kidini huna utafiti unakurupuka. Acheni usengery wa kutumiwa na wanasiasa..........
 
Namshukuru Mungu ninayemwabudu maana hajanipa masharti nini na namna yakula.
 

Hata wao wenyewe pamoja na hizo bisimilayi zao hawapendani, angalia Misri, Libya, Tunisia, n.k. Ndugu yangu mchanganyiko wetu ni muhimu mno na unasaidia sana kuleta amani huko kwenye maduka yao, taxi zao, daladala zao, n.k. Tatizo sio wakristo bali tatizo ni wao wenyewe na mtu wao (mkuu wa kaya). Lakini waelewe wamewasha moto ambao kuuzima kwake lazima ije iwagharim. Tusubiri!
 
ha ata wewe unazungumza utumbo kama huu?
 
 
Ujinga wao waislamu wapeleke huko huko ZNZ na Geita Wakija Arusha . Itakula Kwao Hakuna rangi wataacha ona... Tutauwa wote
 

King Cobra, sababu kubwa ni kwamba nchi yetu imeshehekea jubilee miaka 50 ya uhuru and the nation has been reborn. In the bible ktk jubilee kuna kufanyika upya, kuanza upya, mtazamo mpya, there is rejuvination ya akili na ufahamu. Na huu ni mwanzo yatakuwepo mengi ambayo watu watadai haki zao
 
Yeye achinjaye ng'ombe ni
kama yeye amwuaye mtu; na
yeye atoaye dhabihu ya
mwana-kondoo ni kama yeye
avunjaye shingo ya mbwa; na
yeye atoaye matoleo ni kama
yeye atoaye damu ya
nguruwe; na yeye afukizaye
uvumba ni kama yeye
abarikiye sanamu; naam,
wamezichagua njia zao
wenyewe, na nafsi zao
zafurahia machukizo yao.
Isaya 66:3
 
Hakuna kulemba la maana wakristo wooote kurudisha kadi za ccm tujue moja na 2015 watajua kwa kutokea. Hatuna haja ya kugombana tunaweka mkristu anaruhusu kuchinja udini kwa sisi wakristu tu kwao hakuna udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…