joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,111 Reaction score 46,621 Mar 12, 2022 #1 MY TAKE: Sina uhakika Kama Kenya wanaweza kujadili kuhusu huu mgogoro wakiwa huru Kama Uganda
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,943 Reaction score 1,252,122 Mar 12, 2022 #2 wakenya wapo busy na kampeni kwa sasa
Ndombwindo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2013 Posts 1,847 Reaction score 2,998 Mar 12, 2022 #3 “Ya Ngoswe tumuachie Ngoswe” maana tukiwa tunapambana na njaa zetu hapa Kibera hatumuoni Mrusi labda huyo Ukraine jamaa zake wa NATO wanapunguza makali kiaina…. “Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake…” in the voice of Chief(Hangaya) in command.
“Ya Ngoswe tumuachie Ngoswe” maana tukiwa tunapambana na njaa zetu hapa Kibera hatumuoni Mrusi labda huyo Ukraine jamaa zake wa NATO wanapunguza makali kiaina…. “Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake…” in the voice of Chief(Hangaya) in command.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,163 Reaction score 195,924 Mar 12, 2022 #4 Kila nchi na mambo yake...