Wadau ninauza mgodi wa Tanzanite. Uko Mererani, wilaya ya Simanjiro Arusha. Kitalu D. Anayehitaji bei ni maelewano. Kama uko serious ni pm. Leseni na kila kitu kipo.

Unapatikana vipi wewe?
Mkuu ni mgodi au ni shimo tu limebaki?
Mkuu ni mgodi au ni shimo tu limebaki?