mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,066
- 6,760
Kuna tetesi Acacia wameamua kuanza kufunga mgodi wa Bulyankulu week 5 kuanzia sasa. Acacia wana miliki migodi mitatu Tz ( Geita, Buzwagi na Bulyankuli).
Kutokana na maelezo yao, Bulyankuli ulikuwa ufungwe 2019 na ni miongoni mwa migodi iliyokuwa inazalisha makinikia mengi na kutegemea mapato ya makinikia kama sehemu muhimu ya faida yake, kutokana na zuio la makinikia wanaamini hauna faida tena kwa sasa. Serikali ya Tz mpaka sasa bado wapo katika meza ya majadiliano na Barrick.
Wito: GoT watoe taarifa rasmi kuhusu kinacho endelea, nia na kusudi la Rais na serikali ni jema ila mkiacha hizi habari tukawa tunapata kutoka kwa maadui zetu mjue zitaambatana pia na upotoshaji na propaganda zao.
Hatuna maadui hapo.ni kuhitikafiana tuu.walipewa bure sasa mnawatoza hawatakubali.Kuna tetesi Acacia wameamua kuanza kufunga mgodi wa Bulyankulu week 5 kuanzia sasa. Acacia wana miliki migodi mitatu Tz ( Geita, Buzwagi na Bulyankuli).
Kutokana na maelezo yao, Bulyankuli ulikuwa ufungwe 2019 na ni miongoni mwa migodi iliyokuwa inazalisha makinikia mengi na kutegemea mapato ya makinikia kama sehemu muhimu ya faida yake, kutokana na zuio la makinikia wanaamini hauna faida tena kwa sasa. Serikali ya Tz mpaka sasa bado wapo katika meza ya majadiliano na Barrick.
Wito: GoT watoe taarifa rasmi kuhusu kinacho endelea, nia na kusudi la Rais na serikali ni jema ila mkiacha hizi habari tukawa tunapata kutoka kwa maadui zetu mjue zitaambatana pia na upotoshaji na propaganda zao.
Mficha uchi..............Kuna tetesi Acacia wameamua kuanza kufunga mgodi wa Bulyankulu week 5 kuanzia sasa. Acacia wana miliki migodi mitatu Tz ( Geita, Buzwagi na Bulyankuli).
Kutokana na maelezo yao, Bulyankuli ulikuwa ufungwe 2019 na ni miongoni mwa migodi iliyokuwa inazalisha makinikia mengi na kutegemea mapato ya makinikia kama sehemu muhimu ya faida yake, kutokana na zuio la makinikia wanaamini hauna faida tena kwa sasa. Serikali ya Tz mpaka sasa bado wapo katika meza ya majadiliano na Barrick.
Wito: GoT watoe taarifa rasmi kuhusu kinacho endelea, nia na kusudi la Rais na serikali ni jema ila mkiacha hizi habari tukawa tunapata kutoka kwa maadui zetu mjue zitaambatana pia na upotoshaji na propaganda zao.
Lala naye mbele ili azaeMficha uchi..............
Lala naye mbele ili azae[/QUOTE
Haaaa! umenichekesha hapo ni kubaka
Niliposoma tu kale ka kipengele kuwa Accacia wanamiliki mgodi wa Geita nikachoka kabisa. Sikua na haja ya kusoma zaidi nikaona hizi ni PROP-za-GANDA. Yule jamaa tunaempaka matope ya kukosa uzalendo huziita "professorial rubbish"Kuna tetesi Acacia wameamua kuanza kufunga mgodi wa Bulyankulu week 5 kuanzia sasa. Acacia wana miliki migodi mitatu Tz ( Geita, Buzwagi na Bulyankuli).
Kutokana na maelezo yao, Bulyankuli ulikuwa ufungwe 2019 na ni miongoni mwa migodi iliyokuwa inazalisha makinikia mengi na kutegemea mapato ya makinikia kama sehemu muhimu ya faida yake, kutokana na zuio la makinikia wanaamini hauna faida tena kwa sasa. Serikali ya Tz mpaka sasa bado wapo katika meza ya majadiliano na Barrick.
Wito: GoT watoe taarifa rasmi kuhusu kinacho endelea, nia na kusudi la Rais na serikali ni jema ila mkiacha hizi habari tukawa tunapata kutoka kwa maadui zetu mjue zitaambatana pia na upotoshaji na propaganda zao.
HazaiMficha uchi..............
Siyo. Ni North Mara, uliopo Tarime.Acacia wana miliki migodi mitatu Tz ( Geita, Buzwagi na Bulyankuli)