Hongera sana mkuu.
Sasa fuata procedures zifuatazo kukamilisha utambuliaho wako kwa member wetu.
Andika jina lako kamili
Picha yeyote inayoonesha sura yako.
Mahali unapoishi..
Usiweke namba ya simu kwa sababu hapa JAMIIFORUM TUNAHESHIMU MAWASILIANO HAYO.
Asante sana.