Mgeni

Mgeni

francvenet

Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
14
Reaction score
0
Habari wana Jf! Ninafuraha kujiunga ktk mtandao wa jamii naomba ushirikiano wenu.
 
karibu sana, kaa hapo sebuleni utaletewa kinywaji sasahv! Wenyeji tupo kwenye sherehe za muungano.
 
Karibu sana jamvini pole na mvua, subiri kidogo Katavi anakuletea Jacket
 
Habari wanaJF! Ninafuraha kujiunga ktk mtandao wa jamii naomba ushirikiano wenu
 
Karibu sana jamvini, tunategemea kupata mengi toka kwako...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom