I Iboya2021 JF-Expert Member Dec 1, 2020 1,618 1,481 Dec 1, 2020 #1 Wana jukwaa mimi ni mgeni humu, naomba ushirikiano wenu, asanteni sana.
Gemini Are Forever JF-Expert Member Sep 10, 2019 1,457 2,435 Dec 1, 2020 #2 Una kamba mguuni? Ok, karibu jukwaani lakini.
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 37,209 85,318 Dec 1, 2020 #3 Karibu sana jukwaani, na neno tunalo tumia hapa ndani kwa heshma ya kila mmoja ni "mkuu"
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,047 10,695 Dec 1, 2020 #4 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.