Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Aug 1, 2024 #21 Nyamwii255 said: Habari wanajamii forums Naitwa nyamwii255 naomba ushirikiano wenu Ahsante. Click to expand... Wakati naisoma title ya uzi wako, NILIDHANI UNAANISHA MGENI RASMI KIBU DENGA..!!! CC Kalpana, GENTAMYCINE
Nyamwii255 said: Habari wanajamii forums Naitwa nyamwii255 naomba ushirikiano wenu Ahsante. Click to expand... Wakati naisoma title ya uzi wako, NILIDHANI UNAANISHA MGENI RASMI KIBU DENGA..!!! CC Kalpana, GENTAMYCINE
Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 3,594 Reaction score 7,497 Aug 1, 2024 #22 ephen_ said: Ila nyamwi una vituko! Usikute ni mbaba mwenye wajukuu kabisa ila jf unajitoa akili😂 Click to expand... Stress za maisha watu wanapumzikia JF
ephen_ said: Ila nyamwi una vituko! Usikute ni mbaba mwenye wajukuu kabisa ila jf unajitoa akili😂 Click to expand... Stress za maisha watu wanapumzikia JF
T Thingis JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 3,888 Reaction score 5,982 Aug 1, 2024 #23 Karibu sana mgeni
P h a r a o h JF-Expert Member Joined Mar 25, 2024 Posts 1,000 Reaction score 1,897 Aug 1, 2024 #24 Atacms said: Moderator Paw Active Uyu mwenye hizi id mna muentertain sana kwa nn msiunganishe ID's zake zote mmle na kichwa chake kabisa Click to expand... yanini kumchoma..... Je itakusaidiaje ?
Atacms said: Moderator Paw Active Uyu mwenye hizi id mna muentertain sana kwa nn msiunganishe ID's zake zote mmle na kichwa chake kabisa Click to expand... yanini kumchoma..... Je itakusaidiaje ?
Mwalimu wa field Member Joined Jul 30, 2024 Posts 60 Reaction score 129 Aug 1, 2024 Thread starter #25 Ngalikihinja said: Wakati naisoma title ya uzi wako, NILIDHANI UNAANISHA MGENI RASMI KIBU DENGA..!!! CC Kalpana, GENTAMYCINE Click to expand... Hahah au sio
Ngalikihinja said: Wakati naisoma title ya uzi wako, NILIDHANI UNAANISHA MGENI RASMI KIBU DENGA..!!! CC Kalpana, GENTAMYCINE Click to expand... Hahah au sio
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,327 Aug 1, 2024 #26 BEZO said: Hili jinga liunganishwe I'd zake zote na lipigwe Life ban Click to expand... Tutakosa burudani.Tunamuandaa akawinde bundi na ngedere kandokando ya SGR pale "Mlogolo"!
BEZO said: Hili jinga liunganishwe I'd zake zote na lipigwe Life ban Click to expand... Tutakosa burudani.Tunamuandaa akawinde bundi na ngedere kandokando ya SGR pale "Mlogolo"!
Mwalimu wa field Member Joined Jul 30, 2024 Posts 60 Reaction score 129 Aug 1, 2024 Thread starter #27 NadeOj said: yanini kumchoma..... Je itakusaidiaje ? Click to expand... Labda anataka uongozi jf😁 Huyo itakua mwana CCM
NadeOj said: yanini kumchoma..... Je itakusaidiaje ? Click to expand... Labda anataka uongozi jf😁 Huyo itakua mwana CCM
Mwalimu wa field Member Joined Jul 30, 2024 Posts 60 Reaction score 129 Aug 1, 2024 Thread starter #28 Moisemusajiografii said: Tutakosa burudani.Tunamuandaa akawinde bundi na ngedere kandokando ya SGR pale "Mlogolo"! Click to expand... Mbn mi ni mgeni jamani mi sio nyamwi255 mimini nyamwii255 na huyo si mfahamu mimi ni mgeni
Moisemusajiografii said: Tutakosa burudani.Tunamuandaa akawinde bundi na ngedere kandokando ya SGR pale "Mlogolo"! Click to expand... Mbn mi ni mgeni jamani mi sio nyamwi255 mimini nyamwii255 na huyo si mfahamu mimi ni mgeni
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,327 Aug 1, 2024 #29 Nyamwii255 said: Mbn mi ni mgeni jamani mi sio nyamwi255 mimini nyamwii255 na huyo si mfahamu mimi ni mgeni Click to expand... Haina shida.Kuruta mpya lazima upangiwe majukumu ya lindo Morogoro hadi bundi na ngedere watokomee.
Nyamwii255 said: Mbn mi ni mgeni jamani mi sio nyamwi255 mimini nyamwii255 na huyo si mfahamu mimi ni mgeni Click to expand... Haina shida.Kuruta mpya lazima upangiwe majukumu ya lindo Morogoro hadi bundi na ngedere watokomee.
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,307 Reaction score 25,795 Aug 1, 2024 #30 Kutoka Nyamwi hadi Mwinya mpaka Nyamwila. Leo Nyamwii, nimekupenda bure we mama
Mwalimu wa field Member Joined Jul 30, 2024 Posts 60 Reaction score 129 Aug 1, 2024 Thread starter #31 Kalaga Baho Nongwa said: Kutoka Nyamwi hadi Mwinya mpaka Nyamwila. Leo Nyamwii, nimekupenda bure we mama Click to expand... Hapana huyo si mimi mimi ni mgeni
Kalaga Baho Nongwa said: Kutoka Nyamwi hadi Mwinya mpaka Nyamwila. Leo Nyamwii, nimekupenda bure we mama Click to expand... Hapana huyo si mimi mimi ni mgeni
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,307 Reaction score 25,795 Aug 1, 2024 #32 Nyamwii255 said: Hapana huyo si mimi mimi ni mgeni Click to expand... Basi sawa, mwenzko siwez kulala bila kukuona wewe
Nyamwii255 said: Hapana huyo si mimi mimi ni mgeni Click to expand... Basi sawa, mwenzko siwez kulala bila kukuona wewe
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,911 Reaction score 21,928 Aug 1, 2024 #33 Hili Nyamwii255 litakuwa tapeli. Sasa ID zote hizo na stori za uongo za nini?
Mwalimu wa field Member Joined Jul 30, 2024 Posts 60 Reaction score 129 Aug 1, 2024 Thread starter #34 Kindeena said: Hili Nyamwii255 litakuwa tapeli. Sasa ID zote hizo na stori za uongo za nini? Click to expand... HAhahaha
Kindeena said: Hili Nyamwii255 litakuwa tapeli. Sasa ID zote hizo na stori za uongo za nini? Click to expand... HAhahaha
Mwalimu wa field Member Joined Jul 30, 2024 Posts 60 Reaction score 129 Aug 1, 2024 Thread starter #35 Kindeena said: Hili Nyamwii255 litakuwa tapeli. Sasa ID zote hizo na stori za uongo za nini? Click to expand... Aya sawa
Kindeena said: Hili Nyamwii255 litakuwa tapeli. Sasa ID zote hizo na stori za uongo za nini? Click to expand... Aya sawa
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,682 Reaction score 14,067 Aug 1, 2024 #36 Jinsia yako tafaadhal
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Aug 1, 2024 #37 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,849 Reaction score 26,977 Aug 1, 2024 #38 Nyamwii255 said: Habari wana JamiiForums, Naitwa nyamwii255 naomba ushirikiano wenu Ahsante. Click to expand... Karibu Mgeni rasmi kwenye tukio letu hili muhimu la leo.
Nyamwii255 said: Habari wana JamiiForums, Naitwa nyamwii255 naomba ushirikiano wenu Ahsante. Click to expand... Karibu Mgeni rasmi kwenye tukio letu hili muhimu la leo.
Mwalimu wa field Member Joined Jul 30, 2024 Posts 60 Reaction score 129 Aug 1, 2024 Thread starter #39 Townchild said: Karibu Mgeni rasmi kwenye tukio letu hili muhimu la leo. Click to expand... Shukrani sana mkuu
Townchild said: Karibu Mgeni rasmi kwenye tukio letu hili muhimu la leo. Click to expand... Shukrani sana mkuu
P h a r a o h JF-Expert Member Joined Mar 25, 2024 Posts 1,000 Reaction score 1,897 Aug 1, 2024 #40 Ulimakafu said: Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi. Click to expand... GT ni nani ?