C conveyor New Member Joined Dec 29, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Nov 28, 2013 #1 natafuta nyumba ya kupanga
E Emaoi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 307 Reaction score 235 Nov 28, 2013 #2 Unatafuta nyumba ya aina gani? Mimi ninayo nipigie 0789 543 339
H H R Member Joined Aug 14, 2013 Posts 60 Reaction score 28 Nov 28, 2013 #3 conveyor said: natafuta nyumba ya kupanga Click to expand... Unataka kwa dolla au kwa shilingi? pia uwe makini na maeneo fulani fulani kutokana na ujambazi na vibaka
conveyor said: natafuta nyumba ya kupanga Click to expand... Unataka kwa dolla au kwa shilingi? pia uwe makini na maeneo fulani fulani kutokana na ujambazi na vibaka
Kilahunja JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 1,500 Reaction score 344 Nov 28, 2013 #4 kama ni shost kama mimi Karibu kwqngu mwaya wakat unaendelea kutafuta nyumba but kuna sehem maji ni tatizo, na vibaka na sehem nyingine vihiace mwisho mbili usiku
kama ni shost kama mimi Karibu kwqngu mwaya wakat unaendelea kutafuta nyumba but kuna sehem maji ni tatizo, na vibaka na sehem nyingine vihiace mwisho mbili usiku
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 6,001 Nov 28, 2013 #5 karibu saana cye tuna vyumba self vya kupanga umeme na maji vipo....!