kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Hawezi kubadilika na ndiyo anaenda kuiua CCMBado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.
Yupo vile vile wa juzi wa jana hajabadilika anataka sifa ana majigambo anatumia migongo ya watu kutaka umaarufu.
Kama vile alipoanzia kwenye sakata la watu wa ardhi kino, ndivyo anavyo wavaa watu wenye heshima bila kupima kauli zake.
Mwenyekiti usije ukasema sijakuambia lakini mpe miezi sita, halafu mtumbue anapwaya atakuangusha.
Kwa style ile na mbio zile sijui anakimbilia wapi, ukizubaa kesho atamtuma katibu mwisho wa siku makamu mwenyekiti ghafla bini vuu unapewa wiki tu ndugu mwenyekiti ugawe kilo za sukari kwa watu wazima wote wenye kupenda kunywa chai.
basi hata angeomba ushauri kwa walio mtangulia jinsi gani walihudumu kwa ufanisi, lakini sio kwa kupuyanga kule shabaha yake nini?
Mwenyekiti huyo mtu hatufai, tutakuwa hoi Serikali za Mitaa 2024 usipokuwa makini kubali ulikosea! Akikosa ushawishi na kutosikilizwa atashikia watu silaha!
TUMBUA KAMA ULIVYOTEUA!
Sijui na kazi ya baraza la mawaziri ni nini?Inashangaza katibu mwenezi wa chama anampa maagizo waziri mkuu tena hadharani, chama na serikali wapi na wapi?
Sawa ni chama tawala, lakini maagizo ya chama tawala kwenda serikalini hayafai kutolewa kwenye majukwaa tena kwa mbwembwe na majivuno. Huko ni kuwadogosha walioko serikalini na kutufanya sisi wananchi kama hawana wanalofanya..
Wenye heshima ni kinani nchi hii ikiwa watu waliingia madarakani wakiwa masikini na sasa ni mabilionea?,wezi wa kodi,utawaheshimu wewe mke wao,sio jamii ya watanzaniaBado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.
Yupo vile vile wa juzi wa jana hajabadilika anataka sifa ana majigambo anatumia migongo ya watu kutaka umaarufu.
Kama vile alipoanzia kwenye sakata la watu wa ardhi kino, ndivyo anavyo wavaa watu wenye heshima bila kupima kauli zake.
Mwenyekiti usije ukasema sijakuambia lakini mpe miezi sita, halafu mtumbue anapwaya atakuangusha.
Kwa style ile na mbio zile sijui anakimbilia wapi, ukizubaa kesho atamtuma katibu mwisho wa siku makamu mwenyekiti ghafla bini vuu unapewa wiki tu ndugu mwenyekiti ugawe kilo za sukari kwa watu wazima wote wenye kupenda kunywa chai.
basi hata angeomba ushauri kwa walio mtangulia jinsi gani walihudumu kwa ufanisi, lakini sio kwa kupuyanga kule shabaha yake nini?
Mwenyekiti huyo mtu hatufai, tutakuwa hoi Serikali za Mitaa 2024 usipokuwa makini kubali ulikosea! Akikosa ushawishi na kutosikilizwa atashikia watu silaha!
TUMBUA KAMA ULIVYOTEUA!
Kufa haiwezekani lakini kuwa hoi inawezekana!Hawezi kubadilika na ndiyo anaenda kuiua CCM
Kwani mpaka sasa hujui serikali imeshindwa?Inashangaza katibu mwenezi wa chama anampa maagizo waziri mkuu tena hadharani, chama na serikali wapi na wapi?
Sawa ni chama tawala, lakini maagizo ya chama tawala kwenda serikalini hayafai kutolewa kwenye majukwaa tena kwa mbwembwe na majivuno. Huko ni kuwadogosha walioko serikalini na kutufanya sisi wananchi kama hawana wanalofanya..
Kwani hao serikali wametoka kwenye viroba tu!Kwani mpaka sasa hujui serikali imeshindwa?
Ndio maana unaona jalamba linapigwa na Mwenezi taifa
Baadhi ya wana ccm walobaki kidogo wenye fikra chanyaBado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.
Yupo vile vile wa juzi wa jana hajabadilika anataka sifa ana majigambo anatumia migongo ya watu kutaka umaarufu.
Kama vile alipoanzia kwenye sakata la watu wa ardhi kino, ndivyo anavyo wavaa watu wenye heshima bila kupima kauli zake.
Mwenyekiti usije ukasema sijakuambia lakini mpe miezi sita, halafu mtumbue anapwaya atakuangusha.
Kwa style ile na mbio zile sijui anakimbilia wapi, ukizubaa kesho atamtuma katibu mwisho wa siku makamu mwenyekiti ghafla bini vuu unapewa wiki tu ndugu mwenyekiti ugawe kilo za sukari kwa watu wazima wote wenye kupenda kunywa chai.
basi hata angeomba ushauri kwa walio mtangulia jinsi gani walihudumu kwa ufanisi, lakini sio kwa kupuyanga kule shabaha yake nini?
Mwenyekiti huyo mtu hatufai, tutakuwa hoi Serikali za Mitaa 2024 usipokuwa makini kubali ulikosea! Akikosa ushawishi na kutosikilizwa atashikia watu silaha!
TUMBUA KAMA ULIVYOTEUA!
KabisaKufa haiwezekani lakini kuwa hoi inawezekana!
Mim bawaacha japo nakupinga. Nasema Makonda akanyage tulichelewa sanaBado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.
Yupo vile vile wa juzi wa jana hajabadilika anataka sifa ana majigambo anatumia migongo ya watu kutaka umaarufu.
Kama vile alipoanzia kwenye sakata la watu wa ardhi kino, ndivyo anavyo wavaa watu wenye heshima bila kupima kauli zake.
Mwenyekiti usije ukasema sijakuambia lakini mpe miezi sita, halafu mtumbue anapwaya atakuangusha.
Kwa style ile na mbio zile sijui anakimbilia wapi, ukizubaa kesho atamtuma katibu mwisho wa siku makamu mwenyekiti ghafla bini vuu unapewa wiki tu ndugu mwenyekiti ugawe kilo za sukari kwa watu wazima wote wenye kupenda kunywa chai.
basi hata angeomba ushauri kwa walio mtangulia jinsi gani walihudumu kwa ufanisi, lakini sio kwa kupuyanga kule shabaha yake nini?
Mwenyekiti huyo mtu hatufai, tutakuwa hoi Serikali za Mitaa 2024 usipokuwa makini kubali ulikosea! Akikosa ushawishi na kutosikilizwa atashikia watu silaha!
TUMBUA KAMA ULIVYOTEUA!
Mkuu kunyweni mlilolikoroga.Bado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.

Hiyo ndiyo Ccm,Inashangaza katibu mwenezi wa chama anampa maagizo waziri mkuu tena hadharani, chama na serikali wapi na wapi?
Sawa ni chama tawala, lakini maagizo ya chama tawala kwenda serikalini hayafai kutolewa kwenye majukwaa tena kwa mbwembwe na majivuno. Huko ni kuwadogosha walioko serikalini na kutufanya sisi wananchi kama hawana wanalofanya..
@FaizaFoxy atatokwa povu kwa hiliWenye heshima ni kinani nchi hii ikiwa watu waliingia madarakani wakiwa masikini na sasa ni mabilionea?,wezi wa kodi,utawaheshimu wewe mke wao,sio jamii ya watanzania
Kwani weye ni mgeni nji hii?Bado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.
Yupo vile vile wa juzi wa jana hajabadilika anataka sifa ana majigambo anatumia migongo ya watu kutaka umaarufu.
Kama vile alipoanzia kwenye sakata la watu wa ardhi kino, ndivyo anavyo wavaa watu wenye heshima bila kupima kauli zake.
Mwenyekiti usije ukasema sijakuambia lakini mpe miezi sita, halafu mtumbue anapwaya atakuangusha.
Kwa style ile na mbio zile sijui anakimbilia wapi, ukizubaa kesho atamtuma katibu mwisho wa siku makamu mwenyekiti ghafla bini vuu unapewa wiki tu ndugu mwenyekiti ugawe kilo za sukari kwa watu wazima wote wenye kupenda kunywa chai.
basi hata angeomba ushauri kwa walio mtangulia jinsi gani walihudumu kwa ufanisi, lakini sio kwa kupuyanga kule shabaha yake nini?
Mwenyekiti huyo mtu hatufai, tutakuwa hoi Serikali za Mitaa 2024 usipokuwa makini kubali ulikosea! Akikosa ushawishi na kutosikilizwa atashikia watu silaha!
TUMBUA KAMA ULIVYOTEUA!
Na kuna picha nimemuona Mwenyekiti ameshikwa bega na Mwenezi huko ukurasa mwingine pitia post moja baada ya nyingine👇Mwenyekiti usije ukasema sijakuambia lakini mpe miezi sita, halafu mtumbue anapwaya atakuangusha.