falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,359
Hapa ni kahama maeneo ya soko la wakulima akitema cheche na kumnadi mgombea udiwani kata majengo, leo anataka kurudi ccm lol!!
weita lete castle lager mbili baridi...Hapa ni kahama maeneo ya soko la wakulima akitema cheche na kumnadi mgombea udiwani kata majengo, leo anataka kurudi ccm lol!!
Hahahaa!!Wasalimie submarine hotel M2mwembamba
Dr Slaa Hana Laana itayoishika chadema hata siku moja Kwa sababu yeye aliondoka chadema Kwa njia Haramu baada ya kununuliwa na Membe Kwa dola milion 2 pesa za NIDA pamoja na zile za marehemu Gadafi ambazo Membe kazichimbia kwenye Handaki nyumbani kwake. Hakuna Laana hapo Slaa mwenyewe ni msariti hapo hapo ni mnafiki mkubwa maana yeye ndiye aliratibu kila kitu kisha akageuka baada ya kununuliwa na Membe.Lowasa ni liability au ni asset? Swali Dr Slaa linakaribia kupata majibu. Unafiq!unafiq! Tanzania tunaongoza. CDM mkamwombe msamaha Slaa,vinginevyo laana ya huyo mtu mzima itawamaliza