Henry Kissinger
Member
- Jun 13, 2015
- 71
- 32
* ILIYOKUWA KAMBI YA LOWASSA YAVUNJIKA RASMI
*MGEJA AMPIGA PETER SERUKAMBA KWA CHUPA, KITI NA MAKOFI LUKUKI
* SERUKAMBA AMFIKISHA MAHAKAMANI, MUDA WOWOTE MGEJA KUPANDA KISUTU...
Ule usemi wa mfadhili mbuzi utakunywa supu kuliko binadamu wajidhihirisha wazi ktk kile kinachoitwa dharau na kutokuheshimiana ndani ya kambi ya Mh Lowassa ambapo sasa ni vipande vipande kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba.
Hali hiyo imejidhihirisha wazi katika usiku wa ijumaa majira ya saa 7 usiku maeneo ya Mikocheni katika bar maarufu ijulikanayo kwa jina la KRUIZ IN kuamkia siku ya uzinduzi wa kampeni za umoja wa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA.
Mnyetishaji wa habari hii anasema siku za ijumaa ni kawaida sana watu wa timu ya Mzee Lowassa kukutana mahali hapo kwa ajili ya kula na kunywa muda mwingine watu wenye itikadi na mtizamo au marafiki zao hufika kwa ajili ya kupata huduma ktk bar hiyo
Ijumaa hii haikuenda vizuri waswahili husema ilikua ni shubiri kwa timu ya Mh. Lowassa baada ya mzee Mgeja ambae alikua Mkiti wa CCM mkoa wa Shinyanga kabla ya kuhamia chadema kumtwanga kichwani kwa kutumia chupa, kiti na makofi lukuki aliekua mbunge wa kigoma kaskazin Mh Peter Serukamba ambaye pia ni mgombea wa ubunge jimbo la Kigoma kaskazini (CCM) kwa madai ya Mh Serukamba kutokuhamia chadema...
Mh Mgeja alimshambulia vibaya sana Mh Serukamba mbele ya Fredy Lowassa ambae ni mtoto wa kwanza wa Mh.Lowassa (Fredy Lowassa alionekana akimzuia kijana moja aliyejaribu kumshika Mgeja ili asiendelee kumpiga Serukamba na alisikika akisema ngoja Mgeja na Porokwa wamnyoshe kidogo Serukamba). Kwa waungwana kitendo hiki tunakiita cha udhalilishaji
Ni udhalilishaji kwanza kwa Mh Serukamba kupokwa haki yake ya msingi ya kikatiba ambayo inamtaka kuwa na haki ya kuchagua kile anachokipenda
Pili ni dharau kwa mtu aliejitolea kwa hali na mali kujenga hoja za kumtetea Mzee Lowassa juu ya tuhuma za ufisadi zilizokuwa zikielekezwa kwake toka mwaka 2008 hasa Richmond..
Kwa kitendo kilichofanywa na Mzee Mgeja akisaidiana na Fredy Lowassa na Porokwa kwa sasa ndani ya timu hiyo hakukaliki na wengi wamekerwa na kitendo hicho cha udhalilishaji....
Tunajua wazi kati ya watu wanaojua siri za Lowassa ni pamoja na Serukamba sasa kama kafanyiwa hivi je akiaanza kulipuka na kutoa siri Lowassa atabaki salama kweli?....