R RECYCLER Senior Member Joined Jan 14, 2012 Posts 104 Reaction score 10 Feb 26, 2012 #1 Wana JF hebu niambieni huu mgao wa umeme ndo umerudi kimyakimya? manake huku kwetu kila siku unakatika afu unarudi jioni......
Wana JF hebu niambieni huu mgao wa umeme ndo umerudi kimyakimya? manake huku kwetu kila siku unakatika afu unarudi jioni......
egbert44 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2006 Posts 382 Reaction score 59 Feb 26, 2012 #2 unashangaa ndevu uarabuni?
Babkey JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 4,838 Reaction score 3,673 Feb 26, 2012 #3 egbert44 said: unashangaa ndevu uarabuni? Click to expand... ...labda anashangaa daraja 0 kidato cha nne.
egbert44 said: unashangaa ndevu uarabuni? Click to expand... ...labda anashangaa daraja 0 kidato cha nne.
K kingmajay Member Joined Jul 22, 2011 Posts 72 Reaction score 6 Feb 26, 2012 #4 RECYCLER said: Wana JF hebu niambieni huu mgao wa umeme ndo umerudi kimyakimya? manake huku kwetu kila siku unakatika afu unarudi jioni...... Click to expand... Wanaona aibu kutangaza kwani walijitapa kuwa wamekamilika katika kukabiliana na tatizo la mgao, kitu kimyakimya speed 120 kwenye kona nshaaaahhhh.
RECYCLER said: Wana JF hebu niambieni huu mgao wa umeme ndo umerudi kimyakimya? manake huku kwetu kila siku unakatika afu unarudi jioni...... Click to expand... Wanaona aibu kutangaza kwani walijitapa kuwa wamekamilika katika kukabiliana na tatizo la mgao, kitu kimyakimya speed 120 kwenye kona nshaaaahhhh.
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Feb 26, 2012 #5 Huoooooo!! Afadhal umerudi ninyoshe viwalo vya kwenda kibaruan kesho