Mgawo wa Umeme, nani alaumiwe?

Mgawo wa Umeme, nani alaumiwe?

mwankuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Posts
334
Reaction score
120

Kwa zaidi ya miezi minne, nchi iko kwenye mgawo mkubwa wa umeme.Tanesco wamekuwa wakijitokeza kutoa taarifa (japo kwa kusuasua), kueleza sababu ya mgawo huo, na mikakati ya kukabiliana na suala hilo.

Mara ya kwanza tuliambiwa, mgawo wa umeme ungepungua au kuisha baada ya kukamilisha kuunganisha umeme wa gesi kwenye gridi ya Taifa.Hali ya umeme ingeimarika wiki ya pili ya mwezi Agosti.

Badala yake, hali imekuwa mbaya zaidi kuliko awali, na sababu ni tofauti na za awali.Sasa hivi tunazungumzia ukame.Mabwawa ya kuzalisha umeme, yamepunguza uwezo wa kuzalisha umeme.

Bila shaka hali ni mbaya.Wagombea wa urais (Lowassa na Magufuli), kwa kiasi wanaishutumu TANESCO.Lakini najiuliza hivi Tanesco wanapenda kuwepo na mgawo wa umeme?Bila shaka hawapendi, lakini hali halisi inawalazimu kufanya hivyo.Sasa nani alaumiwe kwa hili tatizo?Kwa bahati mbaya Tanesco (wafanyakazi), wanayo mengi ya kusema, lakini hawana jukwaa la kusemea.

Wanasiasa ndio waliotufikisha hapa tulipo.Ndio wameifanya Tanesco kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi,kwa kuingia mikataba ya hovyo kabisa,kuwahi kusainiwa duniani.

Wakati tunasubiria Oktoba 25, ni muhimu mpiga kura kutafakari haya.Waliosababisha hali hii hawapaswi kupewa nafasi tena.Piga kura ya Mabadiliko.

Hiyo ndiyo inadhihirisha kabisa kwamba serikali ya sisiemu imeshindwa kabisa kufanya maamuzi magumu na kuchukua hatua stahiki ya kuimarisha suala la nishati muhimu ya umeme ambayo ni kiungo muhimu sana ktk kuinua uchumi wetu!

Hii inatupa sababu kubwa sana ya kuikataa ccm ktk uchaguzi huu....Na pia tunapata sababu kubwa ya kuchagua wapinzani UKAWA ambao wanakuja na sera mpya ili kuleta mabadiliko na Tanzania mpya na halisi tunayoihitaji.

MUNGU ibariki Tanzania yetu...MUNGU bariki mabadiliko ya kweli yaifikie nchi yetu!
 
kwa zaidi ya miezi minne, nchi iko kwenye mgawo mkubwa wa umeme.tanesco wamekuwa wakijitokeza kutoa taarifa (japo kwa kusuasua), kueleza sababu ya mgawo huo, na mikakati ya kukabiliana na suala hilo.

Mara ya kwanza tuliambiwa, mgawo wa umeme ungepungua au kuisha baada ya kukamilisha kuunganisha umeme wa gesi kwenye gridi ya taifa.hali ya umeme ingeimarika wiki ya pili ya mwezi agosti.

Badala yake, hali imekuwa mbaya zaidi kuliko awali, na sababu ni tofauti na za awali.sasa hivi tunazungumzia ukame.mabwawa ya kuzalisha umeme, yamepunguza uwezo wa kuzalisha umeme.

Bila shaka hali ni mbaya.wagombea wa urais (lowassa na magufuli), kwa kiasi wanaishutumu tanesco.lakini najiuliza hivi tanesco wanapenda kuwepo na mgawo wa umeme?bila shaka hawapendi, lakini hali halisi inawalazimu kufanya hivyo.sasa nani alaumiwe kwa hili tatizo?kwa bahati mbaya tanesco (wafanyakazi), wanayo mengi ya kusema, lakini hawana jukwaa la kusemea.

Wanasiasa ndio waliotufikisha hapa tulipo.ndio wameifanya tanesco kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi,kwa kuingia mikataba ya hovyo kabisa,kuwahi kusainiwa duniani.

Wakati tunasubiria oktoba 25, ni muhimu mpiga kura kutafakari haya.waliosababisha hali hii hawapaswi kupewa nafasi tena.piga kura ya mabadiliko.

magufuliiiii!!!!!!
 
Ni mambo ambayo yalitakiwa kujulikana kipindi kirefu sana. Ila hawakufanya hivyo.
Ni kwamba serikali imechoka.
Hakuna kiongozi mwenye nia ya dhati ya kututoa kwenye hili lundo la matatizo.
 
Serikali ya chama cha mapinduzi ilaumiwe kwa kushindwa kutatua tatizo hili miaka nenda rudi
 
Naomba nilaumiwe mimi maana kura yangu 2010 niliwapa mafisiem na ndio yaliyotufikisha hapa.
 
Ngoja nijiandae kununua solar maana wanaturudisha enzi za Mwalimu ni shidaaaaaaaa!!! Wakati nchi ndogo za jirani wanauza umeme nje ya nchi, Duuuuhhh!!!
 
Kwa zaidi ya miezi minne, nchi iko kwenye mgawo mkubwa wa umeme.Tanesco wamekuwa wakijitokeza kutoa taarifa (japo kwa kusuasua), kueleza sababu ya mgawo huo, na mikakati ya kukabiliana na suala hilo.

Mara ya kwanza tuliambiwa, mgawo wa umeme ungepungua au kuisha baada ya kukamilisha kuunganisha umeme wa gesi kwenye gridi ya Taifa.Hali ya umeme ingeimarika wiki ya pili ya mwezi Agosti.

Badala yake, hali imekuwa mbaya zaidi kuliko awali, na sababu ni tofauti na za awali.Sasa hivi tunazungumzia ukame.Mabwawa ya kuzalisha umeme, yamepunguza uwezo wa kuzalisha umeme.

Bila shaka hali ni mbaya.Wagombea wa urais (Lowassa na Magufuli), kwa kiasi wanaishutumu TANESCO.Lakini najiuliza hivi Tanesco wanapenda kuwepo na mgawo wa umeme?Bila shaka hawapendi, lakini hali halisi inawalazimu kufanya hivyo.Sasa nani alaumiwe kwa hili tatizo?Kwa bahati mbaya Tanesco (wafanyakazi), wanayo mengi ya kusema, lakini hawana jukwaa la kusemea.

Wanasiasa ndio waliotufikisha hapa tulipo.Ndio wameifanya Tanesco kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi,kwa kuingia mikataba ya hovyo kabisa,kuwahi kusainiwa duniani.

Wakati tunasubiria Oktoba 25, ni muhimu mpiga kura kutafakari haya.Waliosababisha hali hii hawapaswi kupewa nafasi tena.Piga kura ya Mabadiliko.

Lowassa kupitia deni la Richmond aloleta
 
Serikali ya chama cha mapinduzi ilaumiwe kwa kushindwa kutatua tatizo hili miaka nenda rudi

Naomba nilaumiwe mimi maana kura yangu 2010 niliwapa mafisiem na ndio yaliyotufikisha hapa.

Serikali ya CCM kwa Ulegevu

Ngoja nijiandae kununua solar maana wanaturudisha enzi za Mwalimu ni shidaaaaaaaa!!! Wakati nchi ndogo za jirani wanauza umeme nje ya nchi, Duuuuhhh!!!

Ni mambo ambayo yalitakiwa kujulikana kipindi kirefu sana. Ila hawakufanya hivyo.
Ni kwamba serikali imechoka.
Hakuna kiongozi mwenye nia ya dhati ya kututoa kwenye hili lundo la matatizo.

Ccm ndio wa kulaumiwa kwa mikataba tata uliyo sababisha ufidadi katika miradi ya kufua umeme, miradi hiyo ni ;
1. Iptl
2. Escrow
3. Dowans/symbion power
4. Songas.
5. Bomba la gesi ya wachina.
 
Kwa zaidi ya miezi minne, nchi iko kwenye mgawo mkubwa wa umeme.Tanesco wamekuwa wakijitokeza kutoa taarifa (japo kwa kusuasua), kueleza sababu ya mgawo huo, na mikakati ya kukabiliana na suala hilo.

Mara ya kwanza tuliambiwa, mgawo wa umeme ungepungua au kuisha baada ya kukamilisha kuunganisha umeme wa gesi kwenye gridi ya Taifa.Hali ya umeme ingeimarika wiki ya pili ya mwezi Agosti.

Badala yake, hali imekuwa mbaya zaidi kuliko awali, na sababu ni tofauti na za awali.Sasa hivi tunazungumzia ukame.Mabwawa ya kuzalisha umeme, yamepunguza uwezo wa kuzalisha umeme.

Bila shaka hali ni mbaya.Wagombea wa urais (Lowassa na Magufuli), kwa kiasi wanaishutumu TANESCO.Lakini najiuliza hivi Tanesco wanapenda kuwepo na mgawo wa umeme?Bila shaka hawapendi, lakini hali halisi inawalazimu kufanya hivyo.Sasa nani alaumiwe kwa hili tatizo?Kwa bahati mbaya Tanesco (wafanyakazi), wanayo mengi ya kusema, lakini hawana jukwaa la kusemea.

Wanasiasa ndio waliotufikisha hapa tulipo.Ndio wameifanya Tanesco kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi,kwa kuingia mikataba ya hovyo kabisa,kuwahi kusainiwa duniani.

Wakati tunasubiria Oktoba 25, ni muhimu mpiga kura kutafakari haya.Waliosababisha hali hii hawapaswi kupewa nafasi tena.Piga kura ya Mabadiliko.

Selekali ya ccm ilaumiwe period!
 
Aise HII shida si sababu ya richmond?? Halafu huyu mramba siantoka kule kwetu wacha WATU wachukie ili tupte KURA kwa hujuma.eka mangi
 
Wahitimu wa VETA na wahandisi kwa kutokubuni mitambo! inayoweza kulikomboa taifa!.Ata Obama(angekuwa mTZ) asingeweza kuongoza vichwa vibovu vya raia kama nyie(mimi sipo/wewe haupo) hahaha
 
Ngoja nijiandae kununua solar maana wanaturudisha enzi za Mwalimu ni shidaaaaaaaa!!! Wakati nchi ndogo za jirani wanauza umeme nje ya nchi, Duuuuhhh!!!

Hicho cha kununua Solar ndicho walichokitaka. Kuna biashara inafanyika hapa. Watu wanataka kupiga hela kiulaini kupitia mgao feki, kama walivyowahi kufanya huko nyuma, business as usual!!
 
Back
Top Bottom