Kuna tatizo la maeneo tofauti kutokuwa na umeme kwa muda mrefu na bila taarifa toka Tanesco. Ni vyema tukapaswa kujua mapema km ni tatizo la mgawo wa umeme basi tujipange mapema kwa kukodisha generators kuokoa biashara zetu.
Asanteni.
Sent using
Jamii Forums mobile app