Mgao wa umeme kimya kimya -Songea

Mgao wa umeme kimya kimya -Songea

jaridotcom2

Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
62
Reaction score
11
kumekua na kero ya umeme kukatwa kila siku bila hata Matangazo na hatujui nini tatizo,ni week ya tatu sasa tangu kero hiyi kuanza mlioko Songea mtakua shahidi,Hivyo tunaomba Tanesco watueleze wananchi kinachoendelea .'information is power"
 
Kwa kweli inakera sana nilikuja likizo wiki iliyopita home lizaboni nimekaa wiki umeme nimeuona siku 3 tatizo mbunge kilaza bado watu wataendelea kumchagua tuu
 
Huku majengo Ndiyo balaa! kila siku lazima ukatwe! sijui Tatizo nini?
 
Hivi barabara ya kwenda huko ni lami au?
 
Mikoa mwingine bora kuwapa nchi jirani tu kama imetushinda
 
Ningekuwa na uwezo wa kusababisha shida au matatizo ktk jamii ya watz ningefanya hivyo mpaka watie akili, asilimia kubwa ya watz wametolewa ufahamu kabisa yani utadhani ni mazumburugutu/mazezeta taabu ndo zitawafanya wapate akili basi tu cna uwezo
 
aaah tatizo la umeme mbona lilishatangazwa kutokana na kuharibika moja kati ya majenereta ya kufulia umeme na ratiba ya mgao pia ipo ofcoz mim ya mtaa wangu naijua xo huyo anapaswa kufuatilia atajua ipoje.
 
Back
Top Bottom