Mgao sakata la escrow ulikuwa 40.4 kila mtu, aliyochukua 160 mil. waligawana 4 na aliyechukua 80.8 waligawana 2, wawaonyeshe waliowagawia
Mgao sakata la escrow ulikuwa 40.4 kila mtu, aliyochukua 160 mil. waligawana 4 na aliyechukua 80.8 waligawana 2, wawaonyeshe waliowagawia
Upuuzi mwingine huu
yani ndio alivyoona atoke vp
Mkuu inaelekea ulikuwa kwenye kikao kilichopanga kiasi cha mgao kwa kila mhusika,kufuatana na taarifa yako ni vyema ukadadavua ni yupi alimchukulia nani badala ya kutuachia kitendawili.Mgao sakata la escrow ulikuwa 40.4 kila mtu, aliyochukua 160 mil. waligawana 4 na aliyechukua 80.8 waligawana 2, wawaonyeshe waliowagawia
Huwa ni vizuri kama mada ni ya kipuuzi unaiacha bila kuchangia ili usijekuwa mpuuzi pia.
mada yako ya kijinga sana haina kichwa wala miguu.
Dowans iliuzwa Kwa dola 120 million na Serikali ililipa fidia kwa dola 100 million zote hazikukatwa Kodi Mchezo wote ulisimamiwa na Rostam Aziz, chukua hizo dola 220 milion jumulisha na dola 300 million hisa zake za voda ni dola 520 milion, Huu Mchongo wote Mengi anaujua na alipewa Percent zake ndiyo maana alikaa kiimya kwa mda wote, Mwigulu anajua hili lakini naye kauchuna , Kodi iliyokwepwa hapa ni kubwa kuliko hata hiyo pesa yoote ya escrow, Chezea Rostam wewe....
Mengi Vitalu vya Gesi tu vimemfanya atumie Mabilioni kumng'oa Mhongo wakati yeye amebunya mapesa kibao aliyopewa na Rostam kisha akamsaidia Jinsi ya kukwepa Kodi kutokana na Uzoefu wake wa miaka mingi . Sendeka sasa ni Milionea katumia vyema bifu la Mengi na Mhongo kujinufaisha baada ya Mengi kumpa Tenda ya kumng'oa Mhongo lakini wakashindwa kule Dodoma sasa wapo busy wakibuni njia ingine yaani badala Mengi aboreshe Masilahi ya Wafanyakazi wake yeye amekuwa busy kupoteza Mabilioni kwenye Ligi za dili zake binafsi huku akitumia Wananchi kusaka Huruma ingawa wengi sasa wamemshitukia.
Huwa ni vizuri kama mada ni ya kipuuzi unaiacha bila kuchangia ili usijekuwa mpuuzi pia.
wewe na mavi ya mbwa mnatofautiana nini???mie naona kama mnafanana vile.!
Kwaiyo na ww ni mpuuzi pia?
Huyo Mengi mwenyewe huwa halipi Kodi aliwahi kukopa NBC bank kisha akala njama nyaraka zote zikachomwa na kupoteza kumbukumbu Bank ikayumba hadi ilipokuja kuokolewa na Uwekezaji, Mengi kama lilivyo jina lake ana Madhambi ya kumwaga wafanyakazi wake anawalipa mishahara Mibovu Lakini anatumia Mabilioni kwenye Ligi zake binafsi huku akisaka Huruma za Watanzania.Yaani SERIKALI yetu bana kwanin tusiwe omba omba kama matajiri wanakwepa kodi halafu wafanya biashara wa kawaida unawza bana na EFD
Ulaya wao swala la kulipa kodi sio hiari huku kwetu hata AG anasema kodi isilipwe haya ni maajabu sana
Mgao sakata la escrow ulikuwa 40.4 kila mtu, aliyochukua 160 mil. waligawana 4 na aliyechukua 80.8 waligawana 2, wawaonyeshe waliowagawia