Mganga toka.....

Jeiwi kwi kwi kwiii! Ukiingia kwake ni razima upige saruti mura...fita ni fita tu
 
Ahhhahahahahh mbavu zangu,huyu jamaa hata yeye mwenyewe atajichanganya..........makopo na vibuyu kama chizi...
 
duh hapo kitandani ndio mgonjwa anakaa hapa ili awekewe dawa au?
 
Atakuwa anatokea Kigoma huyu, ushahidi ni panki kwa kina brother K
 
Kwa idadi ya hivi vibuyu na HAIR STYLE nahisi atakuwa wa kutokea Afrika Magharibi🙂
 
Usiulise mshawi huyu ndiye akejiandaa kiua watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…