Mganga mwenye uwezo wa kuvunja nyumba ndogo aleta balaa!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Hivi karibuni katika kupitia gazeti moja la udaku nilikutana na habari hiyo.Katika kufukunyua zaidi hao mama wadogo wetu wamekusanyana na kuhakikisha wanamtoa mjini kwa kuwa anawakoseha raha na mahitaji yao ya kila siku waliyokuwa wakiyapata kutoka kwa wame hao.

Mganga huyo humtengenezea dada nyumba kubwa dawa hivyo akishamfanyia mumewe anazinduka kuwa alchokuwa anafanya siyo sahihi na kuachana na nyumba ndogo hiyo.

Jamani wa mama wadogo sawa japo mnafuatwa na kutongozwa kwa nini msitafute wakudumu kuliko kuchukuwa wa wenzio?na kwa nini mnasikitika pale mume mtu anaporudi kwenye nymba yake ya awali wakati ukijuwa kwamba kipindi chote hicho ulikuwa unaiba tu hukuwa na haki hiyo.
 
Tafadhali Chaku naomba anuani na mawasiliano na huyo mganga maana nami ninahitaji kumzindua shemeji yako hapa.
 
Back
Top Bottom