Mganga,mganga,mganga.......... ...

Mganga,mganga,mganga.......... ...

M4C ARUSHA

Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
38
Reaction score
4
Mganga wa jadi toka tanga ,yupo jijini dar es salaam anatibu magonjwa mbali mbali kwa ktumia dawa za asili yaani miti shamba hususani mizizi kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi pamoja na wanaume wenye maradhi kama hayo sambamba na presha kisukari,na maumivu ya mgongo wasiliana naye kwa namba

0765 512 030
 
Kwa wa TZ atawapata wengi maana tunaimani kubwa sana na hawa watu kuliko hata watabaibu wetu mahospitalini!
 
Mganga wa jadi toka tanga ,yupo jijini dar es salaam anatibu magonjwa mbali mbali kwa ktumia dawa za asili yaani miti shamba hususani mizizi kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi pamoja na wanaume wenye maradhi kama hayo sambamba na presha kisukari,na maumivu ya mgongo wasiliana naye kwa namba

0765 512 030

Mie haya madudu siyaamini kabisa hebu iondoe hii threand haraka acha kutapeli watu kama we ni mganga si ujigange wewe upate hela unapata shida ya nini kujitangaza huku?Au kabandike kwenye msteem huko mbagala/tandale uzuri au manzese ndio unaweza kuwapatapata lakini humu jf utapata wachache sana
 
Back
Top Bottom