Mganga anahitajika

Mganga anahitajika

Kesh

Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Mganga halisi na wa ukweli, anahitajika haraka iwezekanavyo
 
Uganga wa kisasa au asili kuwa muwazi na kudeal na kitu gani ? Fafanua ili usaidiwe kirahisi
 
sio kila mganga anaweza kutibu kila tatizo kila mganga na sehemu zake walivyo kama madaktari kuna waganga wengine kazi yao ni kutegua uchawi tu wengine kazi yao kuroga watu tu wengine kazi yao ni kufanikisha biashara ndoa na kadhalika be specific
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom