Mgambo wanapo amua kunyanyasa raia

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104


Askari wa Mgambo wakimkamata mama aliye kuwa akijiuzia bidhaa ndogo baada ya msoto wa maisha bora kwa kila mtanzania.



Yaani ilikuwa balaa patashika nguo kuchanika



Huyu mama kuna watoto na mme anawalea kwa kujifanyia biashara ndogo ndogo k.koo hapa anaingizwa kwenye karandinga la mgambo.



Kha hapa mm sisemi mengi, hawa mgambo ni kama mafisi
 
hv mume wa huyu mama angekua jirani angejisikiaje????na raia mnaangalia tu badala ya kupiga mawe hao mgambo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…