papaa MUTOMBO MOBIMBA
Member
- Aug 27, 2018
- 28
- 38
Mkuu nikweli maana zaman ilikua tunajua mwenye kitambi anahela lakin sikuhizi mtu anaweza pata kitambi hata kwa kutafuna magimbi nikama tumerogwa..!Tena wanawake nao siku hizi wana matumbo sana. Ni kama kuna ka ushindani flani hivi katika umiliki wa vitambi kati ya wanaume na wanawake.
hahah duhh we jamaa banaaa ...Kwa siku za hivi karibuni katika jiji letu pendwa la chipsi kavu(dar) kumekua na ongezeko kubwa la watu wenye matumbo yaliyojazana ovyoo maarufu kwa jina kitambi..ipi siri kubwaa ya vitambi hivi?au kunavitambi vya bahati? nakama vipo vinaoteshwa wapi?au kunatafiti zilizoonyesha ufugaji wa matumbo haya unaongeza nguvu za kiume maana linapokuja swala zima la nguvu zetu tukufu wabongo tuko radhi hata tupandikizwe mabusha shingoni as long as yataongeza nguvu za kiumee..ama ni tabia za ulaji holela wa yale mahindi yetu magumu na limao lililotatuka mpaka kubaki ganda tupu na mixer ya pilipili?..naombeni kujuzwa chanzo cha vitambi.! maana kuna kila dalili majibaba wa hapa jijini wakaacha kusalimiana kwa mikono namwisho wa siku salaam ikawa nikugusanisha matumbo af kila mtu anaendelea na 50 zake.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi ya kukipunguza?Kitambi ni maradhi yanayoitwa obesity na hii ni syptom of malnutrition. Hivyo basi unapomuna mtu mwenye kitambi mpe pole kwa ugonjwa.
Ni vitambi vya kwashokoo sababu ya kula kwa mamantilie chakula aina moja kila siku.Kwa siku za hivi karibuni katika jiji letu pendwa la chipsi kavu(dar) kumekua na ongezeko kubwa la watu wenye matumbo yaliyojazana ovyoo maarufu kwa jina kitambi..ipi siri kubwaa ya vitambi hivi?au kunavitambi vya bahati? nakama vipo vinaoteshwa wapi?au kunatafiti zilizoonyesha ufugaji wa matumbo haya unaongeza nguvu za kiume maana linapokuja swala zima la nguvu zetu tukufu wabongo tuko radhi hata tupandikizwe mabusha shingoni as long as yataongeza nguvu za kiumee..ama ni tabia za ulaji holela wa yale mahindi yetu magumu na limao lililotatuka mpaka kubaki ganda tupu na mixer ya pilipili?..naombeni kujuzwa chanzo cha vitambi.! maana kuna kila dalili majibaba wa hapa jijini wakaacha kusalimiana kwa mikono namwisho wa siku salaam ikawa nikugusanisha matumbo af kila mtu anaendelea na 50 zake.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni uzembe wa kwenda haja kubwa!!Kwa siku za hivi karibuni katika jiji letu pendwa la chipsi kavu(dar) kumekua na ongezeko kubwa la watu wenye matumbo yaliyojazana ovyoo maarufu kwa jina kitambi..ipi siri kubwaa ya vitambi hivi?au kunavitambi vya bahati? nakama vipo vinaoteshwa wapi?au kunatafiti zilizoonyesha ufugaji wa matumbo haya unaongeza nguvu za kiume maana linapokuja swala zima la nguvu zetu tukufu wabongo tuko radhi hata tupandikizwe mabusha shingoni as long as yataongeza nguvu za kiumee..ama ni tabia za ulaji holela wa yale mahindi yetu magumu na limao lililotatuka mpaka kubaki ganda tupu na mixer ya pilipili?..naombeni kujuzwa chanzo cha vitambi.! maana kuna kila dalili majibaba wa hapa jijini wakaacha kusalimiana kwa mikono namwisho wa siku salaam ikawa nikugusanisha matumbo af kila mtu anaendelea na 50 zake.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabu sanaNi vitambi vya kwashokoo sababu ya kula kwa mamantilie chakula aina moja kila siku.