Mfumo wa usaili Utumishi

Mfumo wa usaili Utumishi

sixlove

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
565
Reaction score
397
Habari wanajamvi, naomba kuuliza mfumo unaotumika kwa sasa kwenye usaili (written interview) utumishi. Je ni Online Amptitude Test. Au ni ule ule wa mitihani ya kuandika darasani.

Kada ya mazingira naomba tupeane areas of Concentration. Maana sisi wengine ni gradutes a decade ago. Asante
 
#mboga jr, The lost, Utawala2025.
 
Habari wanajamvi, naomba kuuliza mfumo unaotumika kwa sasa kwenye usaili (written interview) utumishi. Je ni Online Amptitude Test. Au ni ule ule wa mitihani ya kuandika darasani.

Kada ya mazingira naomba tupeane areas of Concentration. Maana sisi wengine ni gradutes a decade ago. Asante
Wee jipange kwa pande zote hawatabiriki hao, unaweza sikia safari Dodoma.
 
Habari wanajamvi, naomba kuuliza mfumo unaotumika kwa sasa kwenye usaili (written interview) utumishi. Je ni Online Amptitude Test. Au ni ule ule wa mitihani ya kuandika darasani.

Kada ya mazingira naomba tupeane areas of Concentration. Maana sisi wengine ni gradutes a decade ago. Asante
Nazan hizi nafasi zetu usaili utakuwa dodoma tena wa kuandika, maana hawajasema kuwa kila mtu aombe sehem anayotaka fanyia usaili, kama ilivokuwa ajira za afya na za ualimu hizi mpya... lakini pia tujiandae kwa lolote maana nahis pdf la kuitwa kwenye usail likitoka ndo litafafanua vizuri swali lako
 
Habari wanajamvi, naomba kuuliza mfumo unaotumika kwa sasa kwenye usaili (written interview) utumishi. Je ni Online Amptitude Test. Au ni ule ule wa mitihani ya kuandika darasani.

Kada ya mazingira naomba tupeane areas of Concentration. Maana sisi wengine ni gradutes a decade ago. Asante
Mfumo ulishabadilika sasa hivi ni on line aptitude test..maswali ni ya kuchagua…soma soma! Na mnafanya kwa kanda! Baada ya mchujo huo kinachofata ni usaili wa practical/vitendo au wa kuongea
 
Back
Top Bottom