Kikubwa taarifa mkuu, yaani ulipoweka hapa nami nimeenda kuchungulia ingawa wamesema user account blocked. Next time ukipiga screenshot uicrop kabla ya kushea Ili baadhi ya detail zisiwepo kabisa.
Wakuu ninaswali tafadhali. Nikijaribu kuingia leo mfumo wa ajira Tamisemi nakuta account yangu blocked (user account blocked) na nilikuwa hapo muda si mrefu
1) Je ni suala la kimtandao ama nimekula pini
2) je muda umeisha wa kuomba ajira ( dirisha limefungwa)ndiyo huandika hivyo?
3) je ikiwa dirisha la maombi ya ajira limefungwa huwa unapata ujumbe gani unapoingia katika account yako ya maombi?
4) kama ni account ikafungwa je huwa wanashughulika na detail zako za maombi ya ajira ikiwa ulijaza kila kitu? πππ Nawasilisha wakuu

Sina wenge mkuu kulikuwa na hizi za kujitolea mkuu. Ndyo maana nikauliza kuwa imefungwa kwangu tuu nikimaanisha niko blocked ama ni dirisha limefungwa mkuu. Rejea swali mkuu