Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Salaam
ama kweli kila mabadiliko yana fursa na changamoto zake
Kama umebahatika kupita yalipo maungio ya BRT uyagundua utofauti mfano anayetoka Moroko akitaka kwenda Ubungo ni lazima uje U Turn huku karibu na Jangwani badala ya kukatia kulia hapohapo kwenye maungio kama ilivyokua zamani na kwingineko................
Nianze kupongeza hatua hii kwani kwa mujibu wa makonda wa daladala inaonekana kupunguza sana fleni kwa kuruhusu zaidi magari ya njia kuu

- Huenda wazo ilikua kuwe na barabara za juu hapo(fly over)
- Naogopa zaidi kwani maungio mengi kwa sasa utawakuta yangeyange na vitabu vyao tayari kabisa kuwanasa wakiukaji, yaani kwa maneno mengine jameshakua kamtaji ka faini kuneemesha geshi