Yaani Baada Ya Kuharibu ndoto za wengi kielimu ndiyo mnakumbuka sasa ? Mtawafidia nini watanzania waliopoteza muda wao kwa kwenda shule/chuo kujifunza vitu ambavyo hawatavifanya maishani mwao kujiletea maendeleo?