Unaposema kutumia data hizo hizo unamanisha zipi?kwa mfano vyeti havibadiliki,so always vitakuwa ni hivyohivyo.CV/resume unaweza imodify kutegemeana na kazi hiyo inahitaji knowlege/skills zipi.Barua ya maombi ni lazima uibadilishe kwani contents zikiwemo jina na anuani ya kampuni unaloomba lazima zibadilishwe.wadau naomba msaada,kama nimetuma maombi ya kazi kwa mfumo wa electronic ukawa haujapata kazi,ukahitaji kutuma maombi mengine unaweza kuupdate ukatumia data hizo hizo? naomba mnisaidie jamani!