ndio mkuu naweza kukutumia demo mkuuAmaizing!! Tunaweza kuijaribu???
shukaran mkuu.. tuendelee kupeana support.. Pia tupeane wateja hatuwezi kukuacha hiv hivi..Haya ndiyo mambo tunayopenda kusikia na kuona toka kwa vijana wetu.
Siyo wale ambao kazi yao kutwa ni kulialia,kulalama na kutafuta watu wengine ubaya wakati fursa zipo zinawatazama.
Hilo ndilo jukumu letu wanajamvishukaran mkuu.. tuendelee kupeana support.. Pia tupeane wateja hatuwezi kukuacha hiv hivi..
Hebu tushirikishe na wewe katika juhudi zako umejitegemea kivipi, isije ikawa ni hadithi za AbunwasiHaya ndiyo mambo tunayopenda kusikia na kuona toka kwa vijana wetu.
Siyo wale ambao kazi yao kutwa ni kulialia,kulalama na kutafuta watu wengine ubaya wakati fursa zipo zinawatazama.
Nipatie again broCodelab Technologies ni kampuni ya vijana wa kitanzania, inayojishughulisha na kutengeneza software.. tunakuletea pera microfinance software itakayokuwezesha kutunza taaarifa za wateja wako wanaokopa, kukokotoa riba,
Ripoti za kimahesabu kama
--Balance Sheet
--Trial Balance
--Account statement
--Due Loans per day
--Profit & loss report
Pia tunatoa huduma ya sms za kuwakumbusha wateja tarehe zao za malipo.
View attachment 930984
Wasiana nasi kupitia 0768108131nipatie again bro