Rev.Kishoka
Platinum Member
- Mar 7, 2006
- 4,527
- 1,555
Tanzania hatujawahi kuwa na raisi!raisi ni kagame
Nyerere, mwinyi, Mkapa na Kikwete wote walikuwa ni katibu kata tu
Amen mchungaji, ni mfumo
mpya wa kiuchumi duniani ambao hautumii uwezo wa kiakili katika
kujiletea maendeleo bali ubabe unaochagizwa na akili mbaya zilizolewa
madaraka, zikinogeshwa na ushirikina na ibada ya roho waovu.
only kagame ndie rais naweza sema wale wana kiongozi wa nchiTanzania hatujawahi kuwa na raisi!raisi ni kagame
na bora ulemavu wa akili kuliko ulemavu wa fikra kama zakobora ulemavu wa viungo kuliko ulemavu wa akili. chadema mburula kweli
Mfumo Kikwete: Ni
mfumo kabambe na mahsusi ambao umeelemea kujenga na kutetea maslahi ya
tabaka dogo la watu walio kwenye madaraka au marafiki na walioko kwenye
madaraka kwa kutumia rasilimali za umma na hata matumizi mabaya ya
fedha, rushwa na ufisadi. Ni mfumo wa kibwanyenye na kinyonyaji ambao
hautumii juhudi za uzalishaji mali na ubunifu kaztika kuzalisha mali,
bali ni mkao wa kimjinimjini na kiujanjaujanja!
Mfumo wa kujijenga kimaslahi na kutetea kwa nguvu zote maamuzi mabovu
yanayoliingizia Taifa deni na kutorosha Rasilimali kwa manufaa ya wadau
wa Mfumo Kikwete!
only kagame ndie rais naweza sema wale wana kiongozi wa nchi
au mnatafuta mbadala wa mfumo kristo baada leo waziri mwandosya kulithibitishia bunge kuwa mawaziri wote na makatibu wakuu ofisi ya rais ni wakristo
na bora ulemavu wa akili kuliko ulemavu wa fikra kama zako
yule akili zimeshashuka chini huwezi mkonsider as a human beingau mnatafuta mbadala wa mfumo kristo baada leo waziri mwandosya kulithibitishia bunge kuwa mawaziri wote na makatibu wakuu ofisi ya rais ni wakristo
Na ile ilani ya
kuasisi mahakama ya kadhi ilikuwa ya Chadema?? Mlianzisha moto na
kuuacha uangamize umoja wetu!! wa-pumbfuuuuu wakubwa CCM!!
yule akili zimeshashuka chini huwezi mkonsider as a human being
Mfumo Kikwete: Ni mfumo kabambe na mahsusi ambao umeelemea kujenga na kutetea maslahi ya tabaka dogo la watu walio kwenye madaraka au marafiki na walioko kwenye madaraka kwa kutumia rasilimali za umma na hata matumizi mabaya ya fedha, rushwa na ufisadi. Ni mfumo wa kibwanyenye na kinyonyaji ambao hautumii juhudi za uzalishaji mali na ubunifu kaztika kuzalisha mali, bali ni mkao wa kimjinimjini na kiujanjaujanja!
Mfumo wa kujijenga kimaslahi na kutetea kwa nguvu zote maamuzi mabovu yanayoliingizia Taifa deni na kutorosha Rasilimali kwa manufaa ya wadau wa Mfumo Kikwete!
Zero Brain ni trademark ya mwana CCM Sumaye.hahahaaaa. hata akili zikimshuka huwezi kulinganisha na zero brain mbowe
mmeumbuka mburula nyie na wabunge wenu wamepigwa ban leo bungeni
mburura ni huu mfumo wa uongozi unaotegemea majini, mfumo kikwete, majini yana mwisho, mtaumbuka tu hata kama mnajifanya mmejitoa akili, hamnazo, hamuogopi kitu, ipo siku na haiko mbali hayo majini yenu yatawakana.bora ulemavu wa viungo kuliko ulemavu wa akili. chadema mburula kweli