Mfumo huu wa uajiri unakera

Mfumo huu wa uajiri unakera

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Watanzani wazangu hiki kitu kina kela sana.
kuna system ya mawakala ya kuajili....!

yaan anakuajili yeye lakn anamfanyia kazi mtu mwigne,.?

Hiki kitu kiko hasa kwenye makapuni ya ulinzi,! ya ndan na yakimataifa...!
wanaajili mtu yule ambaye anamfanyia kazi anamlipa kwa kampuni lile milioni moja au laki nane kwa mahesabu ya chini

lakn cha kushagaza askari huyo wakala wake anamlipa laki moja na nusu.

au unakuta kampuni ni kimataifa nchi nyigine askari kama huyo anapewa laki nne., lakn hapa tz analipa laki nanu
uko wap? uwiano hapo..!
serekali na wizara husika mnakubali ukoloni kama huu kuendelea?
 
Na wewe ujuwe kutofautisha herufi 'l' na 'r'
 
ukitaka kupost ki2 jf andika kwa makini maana wanasoma watu tofautitofauti, na hakikisha makosa ya madogomadogo hayapo kwa kukirudia kukisoma ulichopost.
Sidhani kama hilo ni wajibu wa serikali kujua wewe unalipwa chini ya kima. Kabla ya kuanza kazi kuna mkataba ambao pamoja na malipo yako yamo. Ukiona uko below minimum wage acha kafanye kazi nyingine.
 
Sijaelewa kwa kweli,
na kazi umeshapata?
 
Back
Top Bottom